Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
hanivutii kabisa huyu dada au macho yangu mabovu stunna?!
Tunaita chupi imeingia kipwinto.
Dahh neno la long sana hilo. Unatembea kalio moja linapunga hewa
Hamna Madame B mi nimejisemea tu
Kweli nawe madame B wa long mpaka unalijua hilo neno.
Anafaa kuchemshwa supu...tatoa supu safi sana huyu!!!Hahahaaaaaaa....
Kudadeki....
Huyu ni actress mzuri sana...ila dah...
Iko mufupa mingi mno...
hahahahaaa!!!!Demu kakomaa mgongo kama kuli
Una macho mazima kabisa tatizo hakuvutii sababu wewe una msimamo mkali..! Lol
Lakini tumemuona huku kwetu kuwa yu uchi