Lupita Nyong’o In Hot Bikini: 17 Must See Rare Photos

Bikini nyeupe halafu yuko beach ni wachache sana wanaweza fanya hvyo..
 
labda anaonekana mzuri sababu ni celebrity lakini demu ni mbaaaya hatari, siwezi jibebea hata kama mimi sio celebriti.
 
Watanzania mna wivu sana...hivi huyu munaweza mkamfananisha na dem gani kutoka tanzania ambaye anaweza kutia mguu kwa huyu cute( ondoa flavian matata, jokate kidoti na dame wangu) lakini waliobaki wate wana sura za bibi zao kwa kuendekeza kupaka mamichubuo...aibu iwe juu yenu wote munaosema ni mbaya wakati mnakubali...
 
Binafsi navutiwa na sura ya Lupita....though sipendi body yake. Amekomaa sana, kifua kama kidari no tits...kakomaa kama mcheza football. But she got brains and face😉
 
Watanzania mna wivu sana...hivi huyu munaweza mkamfananisha na dem gani kutoka tanzania ambaye anaweza kutia mguu kwa huyu cute( ondoa flavian matata, jokate kidoti na dame wangu) lakini waliobaki wate wana sura za bibi zao kwa kuendekeza kupaka mamichubuo...aibu iwe juu yenu wote munaosema ni mbaya wakati mnakubali...

Wivu? Hapa? Kwa huyu? Maskini....
 
Watanzania mna wivu sana...hivi huyu munaweza mkamfananisha na dem gani kutoka tanzania ambaye anaweza kutia mguu kwa huyu cute( ondoa flavian matata, jokate kidoti na dame wangu) lakini waliobaki wate wana sura za bibi zao kwa kuendekeza kupaka mamichubuo...aibu iwe juu yenu wote munaosema ni mbaya wakati mnakubali...
umenena.
 
The most beautiful woman in the world so far!!
 
Kuna rafiki yangu anatokea Nothern Uganda; wana sura nzito kama wasudani kusini; zile sura za iddi Amini Dada; basi toka Lupita apate haya matunzo maji hayanyweki...ukikaa kidogo umemuona Lupita leo...

Lakini nimefurahi maana amewanyima sababu ya kujiona inferior au kulia lia kubaguliwa hasa wakiwa nchi za wenzetu

Kawatoa kimaso maso sana wanaye fanana naye...amewarudishia confidence....12 years slave indeed!
 
Back
Top Bottom