Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni lazima akuvutieee!!!!???
Imefanyajee???
sitaki shari mkuu naona umeanza?!!!
Mmh, napita mie...
Kwani ni lazima akuvutieee!!!!???
Si uniambieeee
hata mi pia hanivutii
Hiyo ni bikini ama chupi?
Hizi picha sijui kama Professor anazifurahia,kwetu sisi mtu akivaa hivyo ni laana,Mungu alivyomulani Hawa na Adamu,walijiona watupu ikabidi wavae majani kufununika utupu,kuwa superstar sio lazima uanike mwili wako
Huyu nae angetengeneza nyonyo, mwanamke nyonyo ijae ijae ndio maana humvutii yusuph Isaa