Lupita Nyong'o alijia juu Jarida la Uingereza kwa kumuweka akiwa na nywele kwenye picha zake

Lupita Nyong'o alijia juu Jarida la Uingereza kwa kumuweka akiwa na nywele kwenye picha zake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mshindi wa tuzo ya Oscar kutoka Kenya Lupita Nyongo ametuma ujumbe wake katika mtandao wa Twitter akilalamika kufuatia hatua ya Jarida la Uingereza la Grazia kuhariri picha yake na kuufanya uso wake kuwa nyororo ili kuifanya kuafikia vigezo vya masharti ya urembo ya Ulaya.

Aliisambaza picha iliowekwa katika jarida hilo la mwezi Novemba pamoja na picha alizopiga ambazo zinaonekana akiwa na nywele ndefu. Nyongo pia alitumia alama ya reli ya [HASHTAG]#dtm[/HASHTAG]{akimaanisha usiguse nywele zangu} ambacho ni kichwa cha wimbo wa Solange kuhusu watu kuheshimu nywele nyeusi.

Msanii huyo pia alihusika katika mzozo mwengine na jarida jingine la Uingereza , la Evening Standard lilipohariri picha yake katika ukurasa wake wa kwanza.

Jarida hilo baadaye liliomba msamaha.

bCBF5G-i.jpeg




Muungwana blog
 
Jarida la Uingereza la Grazia kuhariri picha yake na kuufanya uso wake kuwa nyororo ili kuifanya kuafikia vigezo vya masharti ya urembo ya Ulaya
REAL?! Nilichokiona kwenye page ya Lupita ni:
Then edited out and smoothed my hair to fit their NOTION of what beautiful hair looks like
I am afraid mwandishi amechanganya madesa kati ya NATION vs NOTION na ndio maana akahitimisha "Viwango vya Ulaya!" wakati according to Lupita, hiyo ni individual notion/Mtazamo/dhana/fikra
 
Back
Top Bottom