kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,503
- 2,078
Ohooo!!!!mjomba angalie kibao kije kukugeukia wew?Mtoto mzuri wa kupiga cassava huyu...akina sie tukikutana nae lazima aache usagaji....hakika kwenye miti hakuna wajenzi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo!!!!mjomba angalie kibao kije kukugeukia wew?Mtoto mzuri wa kupiga cassava huyu...akina sie tukikutana nae lazima aache usagaji....hakika kwenye miti hakuna wajenzi!
Kitanigeukia vp wakati mm ni mmiliki wa P na yy ni mmiliki wa KOhooo!!!!mjomba angalie kibao kije kukugeukia wew?
Tumuombee wasimvute kuwa kama wao.. wabaki kuwa marafiki tu.. kama wengi walivyo na marafiki lezi ila wao sio kabisa.
Ohhhh mjomba dunia inarudi KINYUME NYUME.Kitanigeukia vp wakati mm ni mmiliki wa P na yy ni mmiliki wa K
Jiami bro....au ww mtoto wa kike nini??Ohhhh mjomba dunia inarudi KINYUME NYUME.
Bila shaka na wewe unae
Utakuwa unanifananisha na uliokua nao na yao. [emoji88]
Kamanzi ni kakali.Alikuwepo hata kwenye Thor:ragnarok na series ya westworldAlitisha sana mule. Alitumia jina la Bianca kama sikosei.
Sasa hivi yumo tena kwenye Avengers:endgame ya mwaka huu!
BiNdiyo trending story hiyo saa hivi mkuu..
View attachment 1095828View attachment 1095829View attachment 1095831
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahila mwanamke kusaga naonaga wala sio ishu...ishu ya mamen kupigana deep tissues
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiih.Nina furushi la nguo hapa nasubiri mapovu ya anti-LGBT!
Ukweli ndio huu sasa, na hujakosea hata kidogo.Truth is wanawake wanawachukia lesbians ila wanawapenda gays. Wanaume wanawakubali lesbians na kuchukia gays. What a balanced paradox