Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

Sema huyo lupiTa naye Bhana...hapo kwenye metGala kavaa kama shangazi yangu wa buhingwe anaenda kanisani
 
Wasagaj hampendan kwa nn?
 
Mwache na raha zake,kwani akisagana kuna ubaya gani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Jokate ni msagaji wa longi sana hata kabla ya wema ila ni msiri tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
love you.
 
Hizi ni za mwaka juzi.Mbona Lupita anapigwa pipe kama kawaida??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…