Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Si picha ulipost wewe mwenyewe umeshika chupa ya kinywaji sijui chang'aaa ile
Labda! Unajua wengi humu wameniona ndio maana huwa natukanwa sana kuliko wengine.Alisimia kubwa ya watz humu wamewahi kunitusi
 
Alete maujuzi na uwekezaji uko Kenya, na sisi bongo movie tuje kuchota. Maana kuna jambazi mmoja wa bongo "move" alivamia jumba kisha akavua viatu asichafue nyumba ya watu.
 
Haha nilijua labda toto ya ukweli
Unaona kakimbia ukimtajoa hiyo picha tu umemfukuza jf mwezi mzima umuoni wewe mwambie akutumie ile picha "kashika chupa ya pombe " uone moto wake
 
Huyu dada angekua mtanzania sasa hivi angekua balozi wa kile chama cha bwana fulani [emoji23][emoji23]
 
Mjinga wa wajinga. You deserve an accolade.

Njoo nikutunuku
Hivi Naii kuna slum ngapi? Mbona kila siku nasikia slum Mpya INA maana wazungu weusi mnaishi Kwa Slum nisaidie nipatie jibu la ukweli usinifiche
 
Hivi Naii kuna slum ngapi? Mbona kila siku nasikia slum Mpya INA maana wazungu weusi mnaishi Kwa Slum nisaidie nipatie jibu la ukweli usinifiche
Jamaa unapenda slums hadi...
Unaishi mbagala slums kule hakuna vyoo? Watu wanajisaidia kwa kichaka cha mwananyamala?
 
Jamaa unapenda slums hadi...
Unaishi mbagala slums kule hakuna vyoo? Watu wanajisaidia kwa kichaka cha mwananyamala?
I love slum huku tz hakuna kasisa nataka kuja Kenya kuzitalii VP utakuwa mwenyeji wangu?
 
Back
Top Bottom