Hujakosea, tunaingoja kwa hamu. Najua Lupita kama kawaida yake kwenye movie lazima atang'aa tu!Wakenya najua mtajaa theatre balaa,Lupita anajitahidi
Hata kwenye TEARS OF THE SUN kuna jamaa mmoja mkenyaMbona ni miaka mingi wa Kenya wame Act saana Movie za Hollywoods??
Au ulikua bado una umri mdogo ati[emoji1321]
😀😀😀 Jombaa, movie yenyewe inaitwa The Ghost and The Darkness, ya zamani sana niliitizama nikiwa mtoto. Ni movie kuhusu wale simba wa mbuga ya Tsavo walivokuwa wanawatafuna jamaa ambao walikuwa wanajenga ile reli ya kwanza ya mkoloni. Nachokumbuka kwenye movie hiyo ni vijana wa kimaasai wakiitana, Musungu, Musungu, ona! Baada ya kuokota mkono wa mhindi kichakani.Kaitafute movie inayoitwa THE GOD AND THE DARKNESS majibu utayapata mdogo wangu
Basic On The True Story
Hio movie[emoji1321]
Mbona ni miaka mingi wa Kenya wame Act saana Movie za Hollywoods??
Au ulikua bado una umri mdogo ati[emoji1321]
Wakenya wamehusika kwenye movies nyingi za Hollywood, lakini ni wachache ambao wameangazwa kama starrings au kwenye leading roles kama jinsi hufanyika kwa Lupita.
Jana kuna movie nimetazama ambayo Nicholas Cage kwenye baadhi ya scenes ameichezea Mombasa na akina yahaya wetu huko, japo kauwongo fulani hapo eti kwamba anaweza akaingia Mombasa na kuwaua Mashababi kiulaini
Mkuu umeiona Extrotion
Inaonekana kama bonge la movie, subiri nitaitafuta
Huyu jamaa aliigiza Kwenye movie ya Captain Philip,na movie nyingine nyingi tuInaonekana kama bonge la movie, subiri nitaitafuta
Huyu jamaa ni pirate wa kweli nini, naona anapewa sana hiki kitengo.Inaonekana kama bonge la movie, subiri nitaitafuta
Hivi ni kweli dada anakunywa vidonge??I love Lupita
Lupita?Hivi ni kweli dada anakunywa vidonge??
Ndio, Lupita.Lupita?
Vidonge vya?
Sijui kwa kweli
Nijuze kidogo mkuu,Ndio, Lupita.
Vidonge ndio. Okei poa.
Mimi sina uhakika, nilisikia tetesi, ndio maana pia nikakuuliza.Nijuze kidogo mkuu,
Vidonge vya nini?