Lupita Nyong'o in black panther movie

Lupita Nyong'o in black panther movie

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
27331978_1594568847291676_6010819664821138112_n.jpg

Jimmy Kimmel show
Nani anasumbili Feb 16 for show ya kwanza kwa movie theaters world wide!!
thumb_bcpuj5lohwlubwf3h5a7edae509a48.jpg

Black Panther in Kisumu
In the olden days of Hollywood films, there was one given trope.

The black buddy, or sidekick, to the white hero of the movie was destined to die.
Lupita’s ‘’Black Panther’’ movie to premiere in Kisumu

Fast forward to 2018, and it is a marvelous marvel that we have the first ever (Marvel Heroes’ franchise) film main starring a black man T’Challa (Chadwick Boseman) as the Black Panther.

And starring right alongside him is our very own, Kenyan-born Lupita Nyong’o as Nakia.

DVqclgHW4AAafwb.jpg:large

maxresdefault.jpg
 
Mbona ni miaka mingi wa Kenya wame Act saana Movie za Hollywoods??
Au ulikua bado una umri mdogo ati[emoji1321]
 
Kaitafute movie inayoitwa THE GOD AND THE DARKNESS majibu utayapata mdogo wangu
Basic On The True Story
Hio movie[emoji1321]
😀😀😀 Jombaa, movie yenyewe inaitwa The Ghost and The Darkness, ya zamani sana niliitizama nikiwa mtoto. Ni movie kuhusu wale simba wa mbuga ya Tsavo walivokuwa wanawatafuna jamaa ambao walikuwa wanajenga ile reli ya kwanza ya mkoloni. Nachokumbuka kwenye movie hiyo ni vijana wa kimaasai wakiitana, Musungu, Musungu, ona! Baada ya kuokota mkono wa mhindi kichakani.
 
Mbona ni miaka mingi wa Kenya wame Act saana Movie za Hollywoods??
Au ulikua bado una umri mdogo ati[emoji1321]

Wakenya wamehusika kwenye movies nyingi za Hollywood, lakini ni wachache ambao wameangazwa kama starrings au kwenye leading roles kama jinsi hufanyika kwa Lupita.
Jana kuna movie nimetazama ambayo Nicholas Cage kwenye baadhi ya scenes ameichezea Mombasa na akina yahaya wetu huko, japo kauwongo fulani hapo eti kwamba anaweza akaingia Mombasa na kuwaua Mashababi kiulaini

Mkuu umeiona Extrotion
 
Back
Top Bottom