MK254 kuna movie flani hivi hata si kuhusu Kenya, mambo ya conservation na gorilla kule Congo, mpakani mwa Rwanda. Star ni mwanamke flani hivi mzungu na sidekick wake mwanaume mwafrika, wanaishi jangwani wakitrack sokwe hao. Aisee nilipigwa na butwa walipoanza kuchapa kikikuyu hehehe.
😀 Wakimuita mwanamke huyo mchawi kwasababu ana nywele nyeupe. Hii ni baada yake kufika kijiji flani akapata watu huko wanauza nyama ya sokwe hao. Wakikuyu, sokwe, uchawi, Congo! Umeona hawa watu wanavochemshaga? Yaani laivu na wala si ishu kwao!