pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wakenya wamehusika kwenye movies nyingi za Hollywood, lakini ni wachache ambao wameangazwa kama starrings au kwenye leading roles kama jinsi hufanyika kwa Lupita.
Jana kuna movie nimetazama ambayo Nicholas Cage kwenye baadhi ya scenes ameichezea Mombasa na akina yahaya wetu huko, japo kauwongo fulani hapo eti kwamba anaweza akaingia Mombasa na kuwaua Mashababi kiulaini
Kawaida yao lazima watuzingue. Mimi mtu wa series nimetizama nyingi tu ambazo zimegiziwa Kenya na zina actors wengi wa kikenya. Nazozikumbuka kwa majina ni ile Sense8 ambayo ili'bore' kinyama afu kuna nyingine action babkubwa, Strike Back. Ukitizama nadhani ni season za tatu na nne utadhani Eastleigh, Nairobi kuna vita vikali zaidi ya kule Kismayoo, Somalia! 🙂