AVO28
Senior Member
- Jan 4, 2018
- 140
- 240
Naam Lupita nyong'o kutoka hapo juu tu paitwapo kenya ndiye mcheza filamu anayelipwa pesa nyingi zaidi kutokea upande huu wa East of afrika, na hakika hakuna anayeweza kupinga kua huyu dada anajua ku act plus na kingereza nacho kinamuhakikishia maisha mazuri huko hollywood,
Swali langu ni kwa hapa bongo nani anaweza kututoa kimasomaso na sisi atupeleke huko hollywood? au ni lini bongo movie yetu itaweza kutusua hata mpaka hapo West of Africa (Nigeria) tu? kama wanavyofanya vijana wetu wachapakazi wa Bongo Fleva wakiongozwa na wasanii machachari sana yani Diamond na Alikiba.