AVO28
Senior Member
- Jan 4, 2018
- 140
- 240
Swali langu ni kwa hapa bongo nani anaweza kututoa kimasomaso na sisi atupeleke huko hollywood? au ni lini bongo movie yetu itaweza kutusua hata mpaka hapo West of Africa (Nigeria) tu? kama wanavyofanya vijana wetu wachapakazi wa Bongo Fleva wakiongozwa na wasanii machachari sana yani Diamond na Alikiba.