Lupita Nyong'o na nywele zake

Lupita Nyong'o na nywele zake

Huyu m Mexico ananimaliza sana mapigo yake. Akifungua mdomo kuongea utajua kasoma Yale kweli, sio kapita tu shule.
Mkuu kuna binadamu wa baya sana, eti wanamfananisha Lupita na Bongo movie wale wa "come babe nimekumiss sana".
 
Mwanamke Mwafrika mwenye kujiamini ni yule tu anae jivunia kuwa Mwafrika.

Dunia ya sasa ukijivunia ulivyo, watu wote watajivunie uwepo wako katika sayari hii.

Maisha ni wewe mwenyewe ulivyo, ukijiamini kwa kile ulicho nacho utaaminika mpaka vile vya ziada ulivyo navyo.
 
zamani nilijua ana uraia wa Marekani.
Mkenya kazaliwa Mexico . Amesoma Marekani.

Hata hilo jina Lupita ni la Kihispania, lugha inayoongewa Mexico.

http://www.sheknows.com/baby-names/name/lupita

Lupita
The name Lupita is a baby girl name.
Meaning
Spanish Meaning:
The name Lupita is a Spanish baby name. In Spanish the meaning of the name Lupita is: Abbreviation of Guadalupe.

Lupita Nyong'o - Wikipedia

Lupita Amondi Nyong'o (Kenyan English: [luˈpiːtɑː ˈɲɔːŋɔ] ( listen), Spanish: [luˈpita ˈɲoŋo (ˈɲoŋgo)]; born March 1, 1983)[2] is a Kenyan-Mexican actress. She was born in Mexico to Kenyan parents and raised in Kenya.[3] She attended college in the United States, earning a bachelor's degree in film and theater studies from Hampshire College.
 
Mkuu kuna binadamu wa baya sana, eti wanamfananisha Lupita na Bongo movie wale wa "come babe nimekumiss sana".
Huyu dada yuko sawa sana upstairs, sijawahi kumsikiliza halafu nikaona kachemka.

Hawa ni watu fulani mtu akikwambia huyu kasoma Ivy League hata huwezi kutia shaka.

Zile acceptance speeches zake akipata awards mpaka raha kumsikiliza.

Hapa alikuwa anapata Oscar for supporting actress.

Mtu akisema huyu kasoma drama Yale, unakubali.

Huyu demu yupo Michelle Obama level, si Bongo movie level.

Huyu dada yuko sawa sana upstairs, sijawahi kumsikiliza halafu nikaona kachemka.

Hawa ni watu fulani mtu akikwambia huyu kasoma Ivy League hata huwezi kutia shaka.

Zile acceptance speeches zake akipata awards mpaka raha kumsikiliza.

Hapa alikuwa anapata Oscar for supporting actress.

Mtu akisema huyu kasoma drama Yale, unakubali.

Na mmea una husika, tafadhali usibishe.
 
wanajua movie ni kujipodoa. kumbe mambo yanayozungumzwa yanasehemu kubwa sana. kuna muigizaji anaitwa Irene Paul, anajitahidi sana kuwa na point anapoongea.

Movie yoyote ni maneno, na maneno yoyote katika movie ndio movie.

Kuna baadhi ya wasanii wakubwa wanalipwa kutokana meneno atayoongea kama Anord na wengine wengi.

Tanzania bado tunaamini movie ni picha kitu ambacho sio kweli. Hivyo tunaperekea wasanii kutojua kuongea point.

Na yote kwasababu tunataka kuwaiga wao, inatakiwa tutoke kwa mira na destuli zetu.. kama baadhi ya history iliyopo katika kitabu cha history kufanya movie baadhi story nzuri
 
Amekata bonge la deal na L'Oreal / Lancome nikienda Macy's nakuta mabango makuubwa cheusidawa katawala mashallah.

Huku wengine wanajikoboa kwa mkorogo.

20130224-IMG_498025.jpg

20703139-standard.jpg
 
  • Thanks
Reactions: kui
Why awe 'luckiest man alive'?
sababu ya umaarufu?
alikuwa kidem cha kawaida sana juzi juzi tu wakati anaigiza Suga ..series ya MTVbase

nna hisi wapo walio hit n run kipindi hiko...

mtu kuwa maarugu hakumfanyi awe 'special'

inawezekana kuna kidume huko Nairobi hakipokei simu zake vile vile
Dahhh u sound like mahater wa Instagram. Sasa kama kuna watu walihit n run kunafuta vipi uspecial wake?
Unasema alikuwa ' kidem cha kawaida' juzi juzi, kumbe unajua kuwa sasa hivi sio wa kawaida eee? Ndo u-special huo sasa!
 
Word!!
 
You could be right
 
alibanduliwa mle ktk ile muvi, afu kila saa...
Uko sawa kabisa nakumbuka Kuna baadhi ya vipengele ilinilazimu niforward kwakua ilikua inaonyesha kama walivyo zaliwa,kiukweli kwa ujasiri ule acha tu ajisuuze moyo japo kwa tuzo hiyo aliyopata
 
Uko sawa kabisa nakumbuka Kuna baadhi ya vipengele ilinilazimu niforward kwakua ilikua inaonyesha kama walivyo zaliwa,kiukweli kwa ujasiri ule acha tu ajisuuze moyo japo kwa tuzo hiyo aliyopata
Movie gani hiyo?
 
Back
Top Bottom