Lupita nyongo ndani ya "VOGUE"magazine

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji na mshindi wa tuzo ya oscar, lupita nyong'o, hvi karibuni amepata shavu jingine kubwa ambapo sura yake itaonekana kwenye jarida maarufu nchini marekani linalodeal na mambo ya fashion na urembo liitwalo VOGUE magazine, jarida hilo maarufu ulimwenguni ambapo mastaa mbali mbali duniani wameonekana kwenye jarida hlo, mastaa kama BEYONCE, RIHANNA, ADELE, KIM KARDASHIAN na wengine wengi
 
Mbona kama alishawahi kua kune hio mag before???
Au nliota...
 


Huyo demu ni wa wapi?
 

Huku kwetu Tanzania KING MAJUTO anafanya tu Matangazo ya kudondoka dondoka kutoka Kitandani hadi Sakafuni huku akinywa Chai ya Ivory na kuishia tu kupelekeshwa na " kinchechede " chake cha Tegeta Nyuki na kutuacha na kicheko chake " uza " cha hi hi hi hi hi hi hi hi hi............!
 
Mkuu Lupita ana BA in Films and Theatre Studies, Masters in programming and acting, anaongea Spanish, English na Kiswahili kwa umahiri, alianza kuigiza Hollywood kabla ya Suga 2009. Sasa ni Waafrika wangapi wamefika hapo kwa umri wake, kwenye sifa mpeni sifa zake.
 
Mkuu Lupita ana BA in Films and Theatre Studies, anaongea Spanish, English na Kiswahili kwa umahiri, alianza kuigiza Hollywood kabla ya Suga 2009. Sasa ni Waafrika wangapi wamefika hapo kwa umri wake, kwenye sifa mpeni sifa zake.

Ama " hujanielewa " au " sijakuelewa " pitia tena post yangu tafadhali.
 
kwani huyu dada aliigiza movie gani
na akashinda hio oscar category ipi?
yani kwa kifupi namuona ona tu insta nasikia ni muigizaji..
sielewi katoka wapi na anafanya nini???
afu sometimes naona kama anakua overrated...
anaemjua anijuze tafadhali
 
Sasa mkuu ulitaka mzee majuto apate tuzo ya oscar?
 
Yes, lupita ako na CV matata, halafu namkubali hana maringo Yule Dada hata kidogo, ila wangekua akina mwafulani hapa mmh tungehama jf akina warumi
 
kwani huyu dada aliigiza movie gani
na akashinda hio oscar category ipi?
yani kwa kifupi namuona ona tu insta nasikia ni muigizaji..
sielewi katoka wapi na anafanya nini???
afu sometimes naona kama anakua overrated...
anaemjua anijuze tafadhali
Gugo utapata majibu ya maswali yako yote, internet unayo kinachokushinda kutafuta habari zake nn!
 
Sasa mkuu ulitaka mzee majuto apate tuzo ya oscar?

Kwani kama angewekewa mazingira mazuri na kuandaliwa ipasavyo na yeye kuonyesha uwezo wake wa " Kikomedi " unadhani isingewezekana Mkuu? Hao unaowaona wamefanikiwa jua ya kwamba waliandaliwa na wakawekewa mazingira ya kufanikiwa na sasa wanakula " matunda " yao.
 
kwani huyu dada aliigiza movie gani
na akashinda hio oscar category ipi?
yani kwa kifupi namuona ona tu insta nasikia ni muigizaji..
sielewi katoka wapi na anafanya nini???
afu sometimes naona kama anakua overrated...
anaemjua anijuze tafadhali
Ni mkenya huyo, Kuna muvi alicheza mwaka juzi huko marekani inaitwa kama sikosei inaitwa slave na ilivuma Sana, jaribu kutafuta hiyo muvi,ndo ilimpa tuzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…