warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Muigizaji na mshindi wa tuzo ya oscar, lupita nyong'o, hvi karibuni amepata shavu jingine kubwa ambapo sura yake itaonekana kwenye jarida maarufu nchini marekani linalodeal na mambo ya fashion na urembo liitwalo VOGUE magazine, jarida hilo maarufu ulimwenguni ambapo mastaa mbali mbali duniani wameonekana kwenye jarida hlo, mastaa kama BEYONCE, RIHANNA, ADELE, KIM KARDASHIAN na wengine wengi