Lupita nyongo ndani ya "VOGUE"magazine

Hongera sana Lupita Nyong'o kwa kuitangaza Kenya na East Africa kwa ujumla.juhudi zako ndo zimekufikisha hapo ulipo,ongeza juhudi upate mafanikio zaidi.
 
Ni mkenya huyo, Kuna muvi alicheza mwaka juzi huko marekani inaitwa kama sikosei inaitwa slave na ilivuma Sana, jaribu kutafuta hiyo muvi,ndo ilimpa tuzo
Inaitwa 12 years a slave
 
Haya bana subiri tumuandane Lulu sasa
 
Sometime nakaa chini najiuliza hivi lupita angekuwa bongo hapa angepata kweli nafasi ya kuigiza, manake bongo movie ili upewe scene lazima uwe na bonge la shepu, sura nzuri hapo unakuwa tayari ushafuzu (sijui Kuna rushwa ya ngono) , kesho na ww msanii na ndio maana movie za kibongo hazivutii kwa sababu zinakosa uhalisia na watu makini, wenye vipaji halisi vya uigizaji ambao huongozea ubunifu ndani yake. Bila kusahau wanaume bongo movie full kujichubua na siku hizi wanachukua shombe shombe hawawezi kuigiza kazi kung'ata lipsi. Mtaani wamejazana watu kibao wanaojua kuigiza, ila kwa kuwa wanaangalia uzuri movie zao zitaendelea kukosa soko sana, mimi hapa bongo bora niangalie comedy kama akina tin white, Ringo, Senga, Pembe, Mboto nk mara nyingi naona zimebeba uhalisia kuanzia wahusika mpaka mazingira, lkn hizi movies zenu za ray, hemed PhD na wengineo hata sizikubali.
 
kwani huyu dada aliigiza movie gani
na akashinda hio oscar category ipi?
yani kwa kifupi namuona ona tu insta nasikia ni muigizaji..
sielewi katoka wapi na anafanya nini???
afu sometimes naona kama anakua overrated...
anaemjua anijuze tafadhali
Dah! Afadhali umenikumbusha... mi nishaiangalia kama mara tatu hivi lakini kila nikiicheki nakuja kushituka imeshaisha kumbe nilishautandikaa usingizi zamani wakati filamu inaendlea!! Nitaiangalia mara ya 4 huku miguu yangu ikiwa kwenye beseni la maji! Trailer yake hii hapa:
 
kwani huyu dada aliigiza movie gani
na akashinda hio oscar category ipi?
yani kwa kifupi namuona ona tu insta nasikia ni muigizaji..
sielewi katoka wapi na anafanya nini???
afu sometimes naona kama anakua overrated...
anaemjua anijuze tafadhali
Princess hiki ulichokiandika ni sawa na kusema naupenda wimbo mpya wa Ali kiba japokuwa sijawahi kuusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…