princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
kingerezaGugo utapata majibu ya maswali yako yote, internet unayo kinachokushinda kutafuta habari zake nn!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kingerezaGugo utapata majibu ya maswali yako yote, internet unayo kinachokushinda kutafuta habari zake nn!
Jungle Book sauti yake imetumika kwa Raksha.Inaitwa 12 years a slave
Haya bana subiri tumuandane Lulu sasaKwani kama angewekewa mazingira mazuri na kuandaliwa ipasavyo na yeye kuonyesha uwezo wake wa " Kikomedi " unadhani isingewezekana Mkuu? Hao unaowaona wamefanikiwa jua ya kwamba waliandaliwa na wakawekewa mazingira ya kufanikiwa na sasa wanakula " matunda " yao.
Dah! Afadhali umenikumbusha... mi nishaiangalia kama mara tatu hivi lakini kila nikiicheki nakuja kushituka imeshaisha kumbe nilishautandikaa usingizi zamani wakati filamu inaendlea!! Nitaiangalia mara ya 4 huku miguu yangu ikiwa kwenye beseni la maji! Trailer yake hii hapa:kwani huyu dada aliigiza movie gani
na akashinda hio oscar category ipi?
yani kwa kifupi namuona ona tu insta nasikia ni muigizaji..
sielewi katoka wapi na anafanya nini???
afu sometimes naona kama anakua overrated...
anaemjua anijuze tafadhali
Princess hiki ulichokiandika ni sawa na kusema naupenda wimbo mpya wa Ali kiba japokuwa sijawahi kuusikiliza.kwani huyu dada aliigiza movie gani
na akashinda hio oscar category ipi?
yani kwa kifupi namuona ona tu insta nasikia ni muigizaji..
sielewi katoka wapi na anafanya nini???
afu sometimes naona kama anakua overrated...
anaemjua anijuze tafadhali
Huwa naona anakuzwa sana kupitiliza.