Lupita_Nyongo ainadi our mighty Serengeti vilivyo, tutarajie mafuriko ya watalii kutoka kwenye hii campaign ya Lupita_Nyongo

Wakenya bwana.!
Screenshot_20190623-145158.jpeg
 
Ok bana.
Yatosha kujua hivyo. Lkn ataanza kupoteza mvuto.
Na akijitangaza tu kwisha habari yake.
Mkuu ni official kabisa wala hajaficha anajionyesha hadharani kama Diamond anavyofanya kwa Tanashe.

Lupita ni mume na Janelle ni mke 😝😝😝
 
Duu
Ni hasara kwa mamaye.
 
Haifunguki link HII.
Come on eliakeem, ata wewe.Even if that's the case she has a brilliant mind and you should engage her or in a discussion from that level not from the neck downwards.Let's stop pretending to be moral police yet we have demons in our closets
 
Muache alivyoamua, but it's real disappointing, ina maana her father is not expecting wajukuu. Mbaya SANA.
 
Back
Top Bottom