Uchaguzi 2020 Lushoto hajulikani nani atashinda 2020

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,389
Reaction score
285
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.

Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.

Msema kweli mpenzi wa MUNGU
 
Hata Mimi Ndugu yangu mwanaccm . Acha democracy ichukue nafasi yake !
 
CCM haitakiwi sehemu nyingi ukiacha zile za waswahili
 
2015 walimuua kijana mdogo Mohammad Mtoi ...damu yake bado inawadai
 
Lissu kafungua watu akili.
 
Ww unaongelea Kushoto yaan inchi nzima ccm hatuelewi Wala hatuelewani.

Wengi tulitegemea baba kanituma Sasa baba mwenyewe ndo ivyo kawwkewa priz kwenye mayai akipumua tu zinabana.

Tupamane tu jamani afu mawnwleo hayana chama
 
Chaga-dema hampati kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…