TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.
Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa Germao Mbelwa anaonekana amejipanga haswa na kadri siku zinavyo yoyoma ndivyo anavyo panda chati, naomba chama changu kidiriki kuvunja makundi yaliyopo kwani chama kipo rehani.
Msema kweli mpenzi wa MUNGU