Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

Ungetaja majina ya wabunge ungemsaidia sana mzee,ili wateja wapate reference
 
Kwa sababu virusi wametengeza wenyewe kwenye maabara zao, hizo wanazoita chanjo zilizozalishwa chini ya mwaka mmoja ni kwa ajili ya makampuni yao kupiga hela kupitia hizo chanjo, ngoja tuone hili litatufikisha wapi....
Chanjo inachukua muda mfupi kwa sababu sasa science na teknolojia iko juu kuliko miaka ya 40, 50 au 60. Sasa unaweza ku sequence genome nzima ya corona virus Ndani ya saa 8
 
Reactions: Pep
Mbunge wa Lushoto ahimiza Wananchi kutumia Kikombe Cha Babu wa Loliondo kupona, wafurika kupata mgao, Ushirikina on fleek.
 
Mwisho tuharibu ini kwa dawa ambazo hazijathibitidhwa
 
Dawa hiyo ni nzuri sana sana kwa watu wa kule kaskazini hutibu kifua kinachoitwa kifira husafisha njia za hewa ila kwenye upande wa korona sifahamu.
 
Kumbe Sasa haina haja niende chuo Cha udaktari Tena. Nitatumia short Kat ya kwenda kujifunza uganga wa kienyeji. Kila waziri anawapa waganga promo
 
Tunauziwa bei gani
 
Wakati nchi za wenzetu wataalamu wanakesha maabara kutafuta suluhu ya changamoto za magonjwa ya Korona, Bongo tunategemea miujiza ya kuchemsha mizizi matokeo yake tunaishia kufa kama kuku wa kideri.
Wamekesha maabara ndo maana hawajavuta wengi kama huku sio............
 
Tunarudi kulekule kwa Babu wa Loliondo
 
Dawa hiyo ni nzuri sana sana kwa watu wa kule kaskazini hutibu kifua kinachoitwa kifira husafisha njia za hewa ila kwenye upande wa korona sifahamu.
Dawa haina jina ?
Au ni pilipili kichaa πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…