PreGE2025 Lusinde alia wanaoomba ajira kufanyiwa mitihani, atoa pendekezo haya Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa vijana.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kibajaji ameyasema hayo leo Jumatatu Aprili 14,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.

Amesema "Lakini huu utaratibu wakuwaleta wote pamoja si Sawa, hivi vyeti mlivyowapa mnavikagua nakusema ni ‘original’ halafu baadae mnamuingiza kwenye mtihani wa dakika moja tu, halafu ndiyo unamkosesha mtoto ajira haiwezekani, tunawa-stress watoto wetu hii si Sawa, mtu amesoma miaka mitatu unakuja kumpa mtihani wa dakika mbili unafuta yote haya, Masomo yote aliyosoma miaka mitatu hayana maana kwa sababu ya mtihani wa dakika mbili hii si Sawa."

Kaongea hoja japo unaweza Kuta hata yeye alihusika kwenye utungaji wa Sheria hizi kandamizi. Mbwa nyie Ma CCM Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom