PreGE2025 Lusinde: Lazima Uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;

"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."

"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie "No Election, No Reform". Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."
Wizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?

Hawa wabunge darasa la saba akina Lusinde CCM waondoeni jamani

Wana aibisha chama
 
Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;

"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."
99EF0835-2EBC-4D59-8C9F-4367E389A85B.jpeg

Bajeti ya wizara ya uchukuzi inaingiaje tena kwenye mambo ya uchaguzi
 
Wizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?

Hawa wabunge darasa la saba akina Lusinde CCM waondoeni jamani

Wana aibisha chama
Hahaha .
Kwani sifa kuu za kuweza kuwa mbunge si kujua kusoma na kuandika?
Amesema ukweli kisha unasema ANAKIABISHA CHAMA!?
BILA SHAKA UMEZOEA KUONGEA UONGO WEWE.
 
Katiba kusema hivyo ni sawa tu lakini chama kikuamua kichague wenye elimu kinakuwa hakijafanya kosa lolote

Ajira serikalini viwango vilishapanda ili kuheshimu elimu isidharaulike .Zamani darasa la saba walikuwa kibao wakiajiriwa serikalini kazi mbalimbali nyingi tu uaskari udereva,maofisini nk sasa hivi lazima mtu awe form four
Vyama vya siasa pia viheshimu elimu ili isidharaulike.Darasa la saba limepitwa na wakati

Hakuna haja ya kubadili katiba lakini vyama tu vibadilike uteuzi wagombea
 
Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;

"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."

hawa ndiyo sababu ya mara hii wananchikuamua

kama mbaya na iwe mbaya

kwa hio chaguzi zote zilizofanyika mbona waliposhinda hawakuyawaza hayo mabadiliko

watanzania tunasema hatudanganyiki tena
 
Wizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?

Hawa wabunge darasa la saba akina Lusinde CCM waondoeni jamani

Wana aibisha chama
ukiona hivo jua safari hii TAL amepiga kwenye mshono

lazima chawa wote warukeruke
 
Hayo mabadiliko yaguse viwango vya chini vya elimu ya mgombea ubunge, ili watu kama hawa wasipate nafasi ya kuongea
 
Katiba kusema hivyo ni sawa tu lakini chama kikuamua kichague wenye elimu kinakuwa hakijafanya kosa lolote

Ajira serikalini viwango vilishapanda ili kuheshimu elimu isidharaulike .Zamani darasa la saba walikuwa kibao wakiajiriwa serikalini kazi mbalimbali nyingi tu uaskari udereva,maofisini nk sasa hivi lazima mtu awe form four
Vyama vya siasa pia viheshimu elimu ili isidharaulike.Darasa la saba limepitwa na wakati

Hakuna haja ya kubadili katiba lakini vyama tu vibadilike uteuzi wagombea
CCM ikibadili utaratibu na kuteua wasomi si itakufa!!??
Tafiti ya TWAWEZA ilionyesha kuwa CCM inapendwa na watu wasio na elimu, au kwa kifupi wajinga.
Hao wafuasi wasio wajinga mtaazima CHADEMA kama mlivyofanya 2020!!??
 
Wizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?

Hawa wabunge darasa la saba akina Lusinde CCM waondoeni jamani

Wana aibisha chama
Wizara ya uchukuzi ndo inayosafirisha kura fake
Kumbukeni Lusinde hajaenda shule jmn
 
Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;

"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."

So aseme tu ndiyo mpango wa Maza kwa kuwa bila hivyo hatoboi naye hayuko tayari kuachishwa urais kwa namna yoyote na hata kama hatachaguliwa?
 
Back
Top Bottom