Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;
"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie "No Election, No Reform". Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."
Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;
"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."
Hahaha .Wizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?
Hawa wabunge darasa la saba akina Lusinde CCM waondoeni jamani
Wana aibisha chama
Katiba kusema hivyo ni sawa tu lakini chama kikuamua kichague wenye elimu kinakuwa hakijafanya kosa loloteHahaha .
Kwani sifa kuu za kuweza kuwa mbunge si kujua kusoma na kuandika?
Amesema ukweli kisha unasema ANAKIABISHA CHAMA!?
BILA SHAKA UMEZOEA KUONGEA UONGO WEWE.
Kuna umuhimu mkubwa sana tena wa haraka mgombea ubunge awe japo na digrii moja ili tuondokane na haya!"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'
hawa ndiyo sababu ya mara hii wananchikuamuaMbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;
"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana yake nini? Hakuna uchaguzi - hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."
ukiona hivo jua safari hii TAL amepiga kwenye mshonoWizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?
Hawa wabunge darasa la saba akina Lusinde CCM waondoeni jamani
Wana aibisha chama
CCM ikibadili utaratibu na kuteua wasomi si itakufa!!??Katiba kusema hivyo ni sawa tu lakini chama kikuamua kichague wenye elimu kinakuwa hakijafanya kosa lolote
Ajira serikalini viwango vilishapanda ili kuheshimu elimu isidharaulike .Zamani darasa la saba walikuwa kibao wakiajiriwa serikalini kazi mbalimbali nyingi tu uaskari udereva,maofisini nk sasa hivi lazima mtu awe form four
Vyama vya siasa pia viheshimu elimu ili isidharaulike.Darasa la saba limepitwa na wakati
Hakuna haja ya kubadili katiba lakini vyama tu vibadilike uteuzi wagombea
Wizara ya uchukuzi ndo inayosafirisha kura fakeWizara ya uchukuzi inahusikaje na mambo ya uchaguzi? Yanaihusu nini wizara ya uchukuzi? Hadi achangie hivyo?