Jamaa kamshindilia ngumi nyingi mnoo aiseeLabda wana ugomvi wa mapenzi maana sio kwa PAWA hizi 😃
Ngumi unaweza kufa hivi hivi aisee,nadhali Zari aliogopa mnoo,sura yake inasadikiHatari sana mpaka Zari amenuna 😃 wanataka kumtoa uhai kibenteni 😃
Si unajua ukishashiba unatafuta sehemu ya kujambia.Dogo anafanya ngumi ili iweje na lishangazi lake lipo na mkwanja