Jamaa kamshindilia ngumi nyingi mnoo aiseeLabda wana ugomvi wa mapenzi maana sio kwa PAWA hizi π
Ngumi unaweza kufa hivi hivi aisee,nadhali Zari aliogopa mnoo,sura yake inasadikiHatari sana mpaka Zari amenuna π wanataka kumtoa uhai kibenteni π
Si unajua ukishashiba unatafuta sehemu ya kujambia.Dogo anafanya ngumi ili iweje na lishangazi lake lipo na mkwanja