MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Wakuu Kwa wale mliowahi kuishi Iringa,nasikia Kuna hiyo dawa ya kimila inaitwa Lutambulilo, huwa wanachanjiwa mabinti / mke wa mtu ili jamaa yeyote akijifanya kidume akaenda kulala nae bas mara baada tu ya tendo la ngono bas jamaa atajisikia kuumwa kwelikweli na atafariki baada ya dakika chache tu.
Na kwa wajuzi wa mambo wanasema kuwa unaenda kuzikwa Huku unasikia maneno ya watu wakizungumza lakini huwezi amka ukasema neno. Karibuni tushirikishane wakuu ,huko mkoa uliotoka je kuna tego la namna hiyo.