Mtengeneza tego nae atombewaWakuu Kwa wale mliowahi kuishi Iringa,nasikia Kuna hiyo dawa ya kimila inaitwa Lutambulilo, huwa wanachanjiwa mabinti / mke wa mtu ili jamaa yeyote akijifanya kidume akaenda kulala nae bas mara baada tu ya tendo la ngono bas jamaa atajisikia kuumwa kwelikweli na atafariki baada ya dakika chache tu. Na kwa wajuzi wa mambo wanasema kuwa unaenda kuzikwa Huku unasikia maneno ya watu wakizungumza lakini huwezi amka ukasema neno. Karibuni tushirikishane wakuu ,huko mkoa uliotoka je kuna tego la namna hiyo.
Wakuu Kwa wale mliowahi kuishi Iringa,nasikia Kuna hiyo dawa ya kimila inaitwa Lutambulilo, huwa wanachanjiwa mabinti / mke wa mtu ili jamaa yeyote akijifanya kidume akaenda kulala nae bas mara baada tu ya tendo la ngono bas jamaa atajisikia kuumwa kwelikweli na atafariki baada ya dakika chache tu. Na kwa wajuzi wa mambo wanasema kuwa unaenda kuzikwa Huku unasikia maneno ya watu wakizungumza lakini huwezi amka ukasema neno. Karibuni tushirikishane wakuu ,huko mkoa uliotoka je kuna tego la namna hiyo.
Hapa lazima apigwe mtuWakuu Kwa wale mliowahi kuishi Iringa,nasikia Kuna hiyo dawa ya kimila inaitwa Lutambulilo, huwa wanachanjiwa mabinti / mke wa mtu...
Dunia imevaa chupi kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtengeneza tego nae atombewa
Kwanini ku muua mwanaume mwenzako kama umeoa malaya au kazimika mwenyewe au haumpi shoo inayo takiwa una tegemea nini sasa acha tumpe raha bhana acha u binafsi mzee ...Wakuu Kwa wale mliowahi kuishi Iringa,nasikia Kuna hiyo dawa ya kimila inaitwa Lutambulilo, huwa wanachanjiwa mabinti / mke wa mtu ili jamaa yeyote akijifanya kidume akaenda kulala nae bas mara baada tu ya tendo la ngono bas jamaa atajisikia kuumwa kwelikweli na atafariki baada ya dakika chache tu.
Na kwa wajuzi wa mambo wanasema kuwa unaenda kuzikwa Huku unasikia maneno ya watu wakizungumza lakini huwezi amka ukasema neno. Karibuni tushirikishane wakuu ,huko mkoa uliotoka je kuna tego la namna hiyo.