TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

1988 aliishakuwa mnadhimu,duh,huyu si atakuwa umri wa akina mzee mwinyi kabisa!!
 
nepotism ndiyo iliwabeba. Ni sawa na watu wa musoma kuwa na wanajeshi wengi ni hivyo hivyo
Hii ina ukweli, nakumbuka ilikuwa ukiingia ofisi za shirika la Bima enzi hizo salaam iliyodominate ni ugonile, likewise NBC
 
Hapana siyo hivyo. Inategemea nani alikuwa sehemu ya maamuzi ya nani awe nani enzi za Mwalimu na kuendelea. Mfano, watu wa Mbeya walijulikana kwa ukabila na tangu enzi hizo apson etc alihakikisha wanyakyusa wanashika hatamu (siyo kuwa na akili). Same kwa makabila mengine yenye mrengo wa kupendeleana kama wachaga, waluguru, wapogoro etc. Hivyo usiseme kabisa eti wana akili bali ni nepotism ndiyo iliwabeba. Ni sawa na watu wa musoma kuwa na wanajeshi wengi ni hivyo hivyo
Musoma wana brain ya medani bhana, kuna Wakurya drs la 7 D kabisa wanarusha fighters na wameshinda medani (vita) nyingi ndani na nje ya jamhuri. Acha kabisa watu wanaokula samaki-maji-baridi brain power yao ni hatari.
 
R.I.P Jenerali Mwakalindile, msalimie mdogo wako marehemu Jenerali Mwankanye maana naona nyote mmepumzishwa nyumbani kabisa Kibisi...
 
Gen Warden alikuwa mwenyekiti wa Board Iyunga Tech Secondary

Enzi hizo shule ni fujo fujo ,Mwamba alikuwa akiitwa anatukana matusi vibaya mno na kutishia kuwafyatua bastola watukutu

Ni mjerumani full mikwara pale Sekondari Iyunga Tech Mbeya

Alishafariki lakini

Jamaa alikuwa anapiga mkwara mpaka wanafunzi wanataka kukimbia akiitwa Iyunga Tech kama wanafunzi wanafanya fujo au kudharau walimu

Kuna wakati alikuwa anaenda na Bastola kiunoni enzi hizo alishastaafu jeshi kitambo

Kuna siku kaitwa,Akaomba list ya watukutu wapite mbele akiwa na hasira full kufura ,Akaangalia jina moja akakutana na Sir name la rafiki yake walikuwa wote jeshi na jamaa alikuwa kiburi sana Jeshi

Akamuangalia yule mwamba akasema wewe dogo ni laana maana hata Baba yako alikuwa anaambiwa kuna siku atazaa mtoto kiburi kama yeye hivyo kosa sio lako nampigia simu Baba yako kumkumbusha tabia zake za hovyo na yeye ndie atakuhamishe uondoke hapa shule kabla sijakufukuza
Enzi hizo kuliwa tayari kuna msamiati wa "dogo!?"
 
Ahahahaha..nimeipenda hii.
 
1988 aliishakuwa mnadhimu,duh,huyu si atakuwa umri wa akina mzee mwinyi kabisa!!
Unajua kusoma kweli?
Maana tarehe ya kuzaliwa imeandakwa hapo unashindwa kutoa mwaka wa sasa na wa kuzaliwa upate umri wake ?
mzee mwinyi kazaliwa mwaka 1925 watakuwaje sawa? Kwa mwinyi huyo ni kama mtoto
 
Back
Top Bottom