Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa Marekani kukanusha taarifa hizo, lakini Pentagon na White House hawajatoa taarifa zozote.

Ifahamike kuwa hapo mwanzo Putin alionya kwamba mamluki yeyote atakayeingia Urus atashughulikiwa sawasawa na mhalifu na adui wa Moscow, Na ikikumbukwa ni wiki tatu tu waliposhanbuliwa Mamluki wa Uingereza katika miji ya Khakyiv nk. Sasa leo ni Marekani.

Huyu amekuwa akijichimbia kwenye kambi ya kijeshi ya Azov mjini Mauripol akiongoza vikosi vya Ukraine kwa muda mrefu na kutoa upinzani kwa majeshi ya Ukombozi ya Urusi. Taarifa toka Moscow zinasema kamanda huyu alikuwa akiongoza vikosi vya Walenga shabaha (snipers) ambao wengi wameshaanhamizwa.

Luteni General Roger amwahi kuongoza kikosi cha Marekani kilichoko Afrika (Africa Command HQ.

Taarifa zinasema kwa siku ya tatu sasa Marekani inahaha kumkomba bila mafanikio na imejaribi kila njia kumpigia magoti Rais Putin, ambapo kinyume chake Putin ameamuru General huyu na wenzake waliokamatwa wapelekwe Moscow

View attachment 2177884

View attachment 2177885

View attachment 2177891

View attachment 2177894

View attachment 2177895
Itakuwa walimkamata hapa JF
 
Usitegemee Pentagon kama watatoa Official statement kuelezea Arresting ya Huyu kamanda wao, Mana kufanya ivo ni sawa na kutoa official statemet kuwa wameanza kuingilia Vita hiyo, US alishasema mwanzo kupitia POTUS Biden kuwa hataingilia hio vita directly yeye ata impose tu sanctions za kutosha ila sio kwenda kwenye battlefield ijapokuwa anaweza kuwa anaenda secretly
Mbona urusi yenyewe haijatangaza. Walivyopteza majenerali wao zaidi ya saba mpaka wakati ninaandika, utadhani kweli wangeweza kumteka Generali wa kimarekani na kukaa kimya badala ya kitangazia dunia yote kuwa kuna askari wa NATO upande wa Ukraine?
 
Back
Top Bottom