Lutheran Primary School Moshi ilivyokuwa 1958 na sasa

Mag...
Mbona umeghadhibika?

Huu ni mjadala wa historia ambayo hakuna yeyote aliyepata kuijua ila wenyewe waliohusika na kuunda TANU.

Kwa nini ughadhibike na kuandika kwa ufedhuli?

Mbona mie naandika taratibu?

Ikiwa huamini niyasemayo kwangu si tatizo.

Bakia na hicho unachokiamini.
This is for Real (James Hadley Chase).
 

Hii nimeikuta mahali:

Wenzetu wachina wamehifadhi vizuri taarifa za historia yao.

Wameweka wazi kuwa Mao na wenzake 11 (jumla watu 12) ndio waliokutana hapo 23.07.1921 kuasisi CPC.

1. Mao Zedong
2. Dong Biwu
3. Li Hamjun
4. Li Da
5. Chen Tanqiu
6. Liu Renjing
7. Zhou Fohai
8. He Shuheng
9. Deng Enming
10. Henk Sneevliet
11. Li Lisan
12. Qu Quibai

Mchina yeyote anawajua hao kwa majina yao kuwa ndio waasisi wa CPC na haikufichwa kwa kusemwa eti "Mao Zedong na rafiki zake".

Wamehifadhi vizuri hadi chumba ulipofanyika mkutano huo wa kitaifa ulioiasisi CPC.

Sisi historia yetu imekuwa ya kufinyangafinyanga, kufichaficha ndio maana leo unapoandika kuhusu Sykes family na mchango wao unapata maswali kama hayo kwa kuwa wengi hawajui ukweli katika uhalisia wake.
 

 
Nimesoma hicho kipande hata nilivyo mvivu kusoma nilitamani uendelee kuandika.

Hongera kaka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…