Mhh!!Mkuu inabidi ufafanue kuhusu hayo matatizo ya Mbeleni maana wengine tunarudi nyumbani na 'Wheel chairs',Vibiongo,magamba&sugu za ajabu Mikononi.....angalia!Watanzania sasa tunawakimbilia Wanigeria kwa madudu kuanzia wizi wa magari, unga mpaka wizi wa credit cards. Wacha wengine tuendelee kuhangaika na mabox
angalau ni pesa ambayo tunajua haiwezi kutuletea matatizo huko mbeleni.
Mh, hii kaazi kweli kweli. Dogo alikuwa anasifika sana bongo kwa kupeleka magari miaka ya nyuma, ooh anakumbuka ku invest home, kumbe yuko kwenye car theft syndicate? Duh noma.
Mhh!!Mkuu inabidi ufafanue kuhusu hayo matatizo ya Mbeleni maana wengine tunarudi nyumbani na 'Wheel chairs',Vibiongo,magamba&sugu za ajabu Mikononi.....angalia!
bongofamily njooni hapa mtupe kilicho jiri juu ya mfadhili wemu,mbona mnamtosa kiaina washikaji
I do not condone wizi wa aina yoyote lakini Im standing up right now with my hat off for this guy, simjui lakini he must have some brain and a tough heart,he deserve some credit.
Huyu bwana licha ya ujanja wote huu, aliniacha hoi
alipoenda ku-dhraw 100,000$ kule Texas...ndiposa akarukiwa
na kudeportiwa....hapo nikajua we got a fool for a thief.
Hii Uingereza ilikua a matter of time tu.
Wala sijui kama ni tamaa ama ni uzuzu tu!
Baada ya kusoma mawazo tofauti ya watoa hoja mbalimbali na kidogo ninavyoifahamu familia ya Mponjori.
I conclude as follows:
1. Familia aliyotoka, baba yake alikuwa na hela nyingi sana miaka ya nyuma na kampuni yake ya Ghana Building Contractor. Kwa hiyo kimsingi hakukosa kitu na kama angetaka kusoma pesa ilikuwa sio tatizo.Badala yake kama wengine wanavyosema alikuwa anafuja hela na washikaji wake kwa kutaka sifa.
2. Pamoja na mafanikio yake katika shughuri zake bado anakuja kukamatwa na gari la wizi, ambalo alijua kabisa ni la wizi. A police source said: "Mr Malakasuka was arrested in an apparently stolen Mercedes after officers ran a PNC check on the car
Kufuatana na jinsi alivyokuwa anaendesha maisha yake mimi ninaona anaishi bila malengo na wala hajui nini anataka katika maisha yake. Uizi wake ni wa kishamba harafu wa kijinga ama kweli kuna watu wamezaliwa waizi. Just for the funny ya kuiba.
Wako wengi tunawaona wamefanikiwa leo walifanya exactly kama yeye na wengine zaidi yake lakini they had a limit and they knew what were doing. Kwake alifikiri life is simple and could continue stealing people the whole of his life. FOOLISH BOY HAS SHAMED ME AND TANZANIANS IN GENERAL.
Ninamhurumia sana Mama yake mzazi ambae pamoja na utajiri wa mume wake alikuwa anahangaika na maisha yake kama mwanamke wa kawaida kabisa. Niliacha kumuona kwenye mahangaiko Soko Matola- Mbeya miaka ya 2000, na leo nimepata jibu kuwa ni Mponjori aliyemleta DAR.
Pole dada yangu (Nina maana Mama yake mzazi) huyu mtoto katutia aibu sana. Lakini alipata wapi hii tabia? Mbona upande wa mama yake karibu familia yao warokole na humble?
Kama mtu anafahamu jinsi baba yake Mzazi Mzee Malakasuka alivyoacha kazi Hospitari ya Baptist Mbeya na leo Meta Maternity Hospital basi atueleze ...........
Njimba Nsalilwe
Njimba,
Mponjoli hakuwa mjinga kama unavyofikiri. The guy was actually smarter than most of his agemate. Issue ni kwamba alichagua kutumia akili zake kwenye masuala ya wizi. Na alikuwa damn good at it. Otherwise, he could have been whatever he wanted to be.
Alikuwa fast mno....yeye kila kitu kwake ni fasta fasta tu. Na alikuwa very accurate na dili zake. Nakumbuka alipokuwa Dallas, alishawahi kuchonga dili ya kuibiwa gari. Na alifanikiwa kuvuta check kutoka insurance bila ya kubumburuka. Na hata dili za kwenda upfront bank, alishazifanya sana na kufanikiwa (ninazungumzia ya kati ya $1000 - 20,000). Alichokosea step ya dili ya bank iliyomkamatisha ni kiasi cha $ alichotaka kuvuta, plus nafikiri tayari alishakuwa kwenye survilliance by then. Na mwenyewe alishajua kuwa tayari yuko kwenye survilliance, kwa hiyo alitaka kuvuta hela kubwa na kuingia mitini kurudi bongo kimoja.
Kuna vitu viwili vikubwa ambavyo vilikuwa vinamwangusha Mponjoli. Wanawake na wapambe. Jamaa alikuwa anapenda mambo ya chumbani sijawahi ona. Mshikaji yaani alikuwa akiona demu anatetemeka kwa uchu. Na ikibidi hata afunge baa kwa kujaribu kum-impress yule demu, atafanya hivyo. Mambo mengine aliyowahi kuyafanya kukiwa na mwanamke around ni mpaka aibu kuyaelezea. Nafikiri mpaka anaondoka U.S. alishakuwa na watoto kama watatu (not sure)wenye mama tofauti. Mwenyewe alikuwa anakiri kuwa uzinzi amechukua kutoka kwa baba yake. Alikuwa anasema kwao wako wengi kinoma.
Wapambe ni issue nyingine. Jamaa alikuwa anawapambe wengi mno. Yaani Dallas bila ya Mponjoli ilikuwa haiendi. Alikuwa kama baba yao vile. Alikuwa akienda kwenye zile party za kibongo (Houston, DC, na Columbus) na wapambe wake, atawalipia airline ticket, rent a car, mpaka hotel fair. Yaani jamaa alikuwa celebrity fulani huko Dallas. Alipokamatwa, wabongo wengi Dallas walikuwa kama wamemwagia maji kwa kunywea. Dallas bongo community has never been the same ever since. Hata kukamatwa kwake kunahusishwa na whistleblow kutoka kwa baadhi ya wapambe wako aliokosana nao kwa namna moja au nyingine.
(Disclaimer - baadhi ya mambo niliyoyaandika hapo juu ni hearsay. So don't hold a gun on me)
Njimba,
Alichokosea step ya dili ya bank iliyomkamatisha ni kiasi cha $ alichotaka kuvuta, plus nafikiri tayari alishakuwa kwenye survilliance by then. Na mwenyewe alishajua kuwa tayari yuko kwenye survilliance, kwa hiyo alitaka kuvuta hela kubwa na kuingia mitini kurudi bongo kimoja.
Kuna vitu viwili vikubwa ambavyo vilikuwa vinamwangusha Mponjoli. Wanawake na wapambe.
Wapambe ni issue nyingine. Jamaa alikuwa anawapambe wengi mno. Yaani Dallas bila ya Mponjoli ilikuwa haiendi. Alikuwa kama baba yao vile. Alikuwa akienda kwenye zile party za kibongo (Houston, DC, na Columbus) na wapambe wake, atawalipia airline ticket, rent a car, mpaka hotel fair. Yaani jamaa alikuwa celebrity fulani huko Dallas.
Kama hivi ni vigezo vya usmati wake, why do not I call him a foolish boy?
Unaona mambo yake yanafanana, anendesha gari analojua ni la uizi??? Same mistake he did in dallas.
Halafu kuna vitu vilikuwa recovered kwake. Though they did not elaborate what.
I insist ni mwizi mjinga asie na malengo na asiejua anataka nini katika maisha yake.
Njimba Nsalilwe.