Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Whether kawaibia wazungu na kuwekeza Tanzania au kawaibia wa Tanzania na kuwekeza Tanzania ni mwizi tuu na ndio maana yuko lupango.
 
SFO joins car theft probe:JAILED TANZANIAN CRIMINAL CAUGHT DRIVING STOLEN MERCEDES BENZ IN UK



THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE UK's anti-fraud watchdog has joined investigations into a car theft ring involving the export of stolen luxury vehicles from Britain to Tanzania.

According to British police sources, the Serious Fraud Office (SFO) is investigating the international aspect of the syndicate.

The SFO is a UK government department and is part of the British criminal justice system. Investigators from the watchdog agency are usually called in to probe only ''serious and complex fraud.''

Experts say the involvement of Britain's anti-fraud investigators in the case proves the seriousness of the crimes committed by the gang of car thieves.

''The key criterion we use when deciding whether to accept a case is that the suspected fraud appears to be so serious or complex that its investigation should be carried out by those responsible for its prosecution,'' says the SFO in its website.

''The SFO could not - and does not - take on every referred case of suspected fraud. SFO resources must be focussed on major and complicated fraud.''

The SFO says factors considered when accepting to investigate a case include the fact that the value of the alleged fraud exceeds �1 million (approx. 2bn/-).

In Tanzania, the SFO has notably been involved in investigations into the $41m military radar scandal.

British authorities are trying to recover an estimated �1.5 million (approx. 3bn/-) in the international scam involving the theft of luxury vehicles in the UK, and their subsequent exportation for sale in Tanzania and neighbouring Kenya.

A Tanzanian national identified as Mponjoli Malakasuka (36) was convicted in the UK last year of charges connected to the suspected car theft racket, and sentenced to three and a half years in prison.

The fraud involving Malakasuka saw dozens of prestige cars such as Aston Martins, Range Rovers and BMWs stolen from wealthy areas in the Midlands, UK, and then exported in sealed shipping containers to Tanzania.

Malakasuka was arrested in 2007 when police ran a check on his Mercedes and found it was stolen.

The Tanzanian and his associates had rented prestige high-value cars which were then reported stolen to the insurance company.

The gang also swiped luxury cars from driveways by fishing car keys through letterboxes across the West Midlands, Staffordshire, the north and London.

At least twice Malakasuka paid for two Range Rover Sports cars and then reported them stolen to claim on the insurance.

Financial investigators from the UK's Economic Crime Team recovered five cars in a 10-day spell in 2007, but many more were thought to have been smuggled abroad through Felixstowe or Southampton docks hidden in containers.

The racket was busted when an eagle-eyed manager with a car hire company noticed that many of the cars reported stolen had been hired using the same credit card.

He alerted police and, using a tracking device, they waited for a match to come up.

When it did, and one of the supposedly stolen vehicles was reported driving along West Bromwich High Street, police raced to the scene and caught Malakasuka at the wheel.

A UK financial investigator, acting Detective Sergeant Chris Harris, said: ''It's incredible to think a global investigation could come from such a small piece of information.''

He added: ''But the rental firm smelled a rat, let us know and when we got the shout we arrested him (Malakasuka). Then the inquiry just ran and ran.''

The Tanzanian national eventually pleaded guilty to conspiracy to steal at Wolverhampton Crown Court. He was the only person convicted for the car ringing racket, but police believe he worked as part of a gang.

Det Sgt Harris added: ''What started as an inquiry into a rented car that had not been returned spiralled into an investigation into a global fraud. Much of the international element of it has now been passed to the Serious Fraud Office, but we're proud to say we played our part.''

A spokesman for the Serious Fraud Office said they did not wish to comment on the investigation.

ThisDay
 
Acheni hizo kinachowaponza watanzania wengi ni tamaa ya utajiri wa haraka haraka kuutolea jasho matokeo yake ndio hayo. Unakuta hataki kusoma wala kufanya kazi anabakia kuwa mwizi ili aonekane anaendesha Range au ML UK au US matokeo yake ndio hayo. Hakuna mafanikio katika short cut
 

Ni bora ndugu yangu uka stick kwenye suala Dr badala kuingilia mjadala wa wizi uliofanyiwa Afrika ili kuendeleza mabara mengine kama ulaya na Amerika kwa sababu hili ni suala la ukweli wa kihistoria na hakuna mtu mwenye shule hata kidogo anayepinga ukweli huu. Mazungumzo ya kwenye kahawa kama mtu kulawitiwa na kuibiwa ndio size yako na si suala hili.Utanisamehe kwa lugha kali lakini uwezo wako wa kufikiri haukuruhusu kujadili baadhi ya masuala na ukifanya hivyo utakuwa uanjiabisha mwenyewe. Kwa kuanzia google stages of capitalism development ili uwe walau na basis unapojaribu kuongelea vitu vingine..AAAAAAAAAAGGGGHRRRRRR
 
End justifies the means, jamaa toka enzi za miaka ya mwanzoni mwa 90 akiwa sec ya Sangu alionyesha wazi kuwa ni mtu wa "kazi".

Wana JF tuache chuki binafsi, watu kibao kawatoa pale dar na mbeya pia. Mifano hai tunayo ya watu aliwatoa achilia mbali ndugu zake. Watu kama Mr. II na wengine wengi wasingekujua ulaya na USA bila mponjoli. Ishu ya kupenda mademu ni ya kawaida sana... nani mwanaume kati yetu ambaye hajawhi au hatembei na mademu wa watu. Let's be honest here, kuna watu wanaleta chuki zao binafsi kutaka kumkandamiza Mponjoli. Kwa namna yoyote ile kwa cash alizonazo na maisha yalivyo sasa hivi wanawake lazima walikuwa wanajipatia riziki kwa jamaa.

Kuhusu wizi wake mi naona poa mbona wazungu wanakuja huku wanatuibia kama wale waliopewa rights huku migodini huku wakituachia royalty ya 3%. Mchizi alikuwa afanyi uchafu bongo, alichokuwa anafanya ni kuleta mahela angalau kurekebisha urali wa fedha "balance of payment" bongo.

All the best Dr. ila namuonea huruma mdogo wako niko ambaye kazubaa sana. Kutwa nzima kulewa mitaa ya Sinza!
 
Sipendelei wizi lakini hali tunayokwenda nayo sasa TZ inatia uchungu sana. Matajiri wanapaa na maskini wanazidi kudidimia. Huko nyuma tulikuwa tunaimba "Tanzania itajengwa na wenye moyo". Tumeshuhudia wenye meno wakiitafuna! Matokeo yake, wenye meno wanatajirika, wenye moyo wanakuwa maskini.
Tumeimbishwa "Maisha bora kwa kila Mtanzania". Imebaki kuwa ndoto! Jamani hali huku vijijini inatisha. Tunakumbukwa wakati wa kuombwa kura tu! Tunadanganywa kwa TShirts na khanga. Wakishapata ulaji mambo yanageuka, sisi tulioahidiwa kutumikiwa tunawatumikia. Tunawaona jinsi wanavyobadilika (kutoka), tena bila jasho.
Nakuambieni, hivi sasa ni rahisi sana kwa mTZ maskini kumshawishi aingie dili hata la kipumbavu, ili mradi umhakikishie "atatoka". Umaskini unafanya akili igande. Hufikirii kukamatwa, bali kujikwamua.
Nafika mahala najiuliza: Je umaskini ni chanzo cha ufisadi au ufisadi ndio chanzo cha umaskini?
Sijui kama nimeeleweka, lakini naungana na Pasco kwamba "….I would have done the same…….. Mimi ni mtu mwenye hasira ya umasikini na sijapata pa kutokea…"
Kumbe mwizi pengine hapendi kuiba ila shetani anamshinda nguvu na kujikuta ameanguka katika wizi. Hebu fikiria kuwa maskini katikati ya matajiri ambao walikuwa maskini wenzako na ambao unagundua kwamba utajiri huo wameupata kwa wizi. Akili itaganda. Inauma sana!
Samahani kama nimewakwaza.
 
wow a de boy is gudooo how could he survive all this years, but he has the theft genes you cant if you are not build like that, ye i like this and he is better off kuliko hawa wanaotudhulumu na tumewachagua wenyewe bila aibu ametoka jasho angalau
bahati mbaya tu kukamatwa
 
duh! hii kitu ya mponjoli imetokea mwaka 2007 bado watu mnaongelea tuu hadi leo hii!....woooooooow!..

hapa kuna watu wanapiga kelele wakati walikuwa wa kwanza kumpigia mponjoli na kumkopa na wala hana kinyongo na mtu alikuwa anasaidia kila mtu.....hebu leave him alobe as long as hajaibia hela zako za tax then unaumia nini?.....
 
Samahani wadau- hapa ilipo hii habari nadhani si sahihi-kuna biashara gani hapa mpaka ikawekwa hili suala japo kama alivyosema mrembo Kelly ni la siku nyingi????
 
Wandugu, JF is a forum where we dare speak the truth. 'nothing but the truth' point of view is relative, there are no first and hard rules on which point one sees according to his/her view.
Jambo unaliona wewe baya ni la kawaida kwa mwingine. Nimewahi kusoma mahali, kijana akimuomba hakimu ampeleke jela kwake maisha ya jela shibe na kulala selo ni bora kuliko huru njaa na kulala barabarani.

Sina maana ya kuhalalisha maovu kwa kisingizio cha point of view, bali nakubali na kuwahurumia baadhi ya hao watenda maovu kwa kujustify walichotenda kwa sababu walizotenda kwenye mazingira waliyotenda.

Kosa la kuua kwa bongo ni adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka ufe. Wako wameua na wamehukumiwa kunywongwa, na wako walio ua na kuachiliwa huru, mfano ni Babu mmoja sikumbuki wapi ila hapa hapa Bongo, alimkuta binti yake anafanya mapenzi kitandani kwake, mchana kweupe, alimpiga na mpini wa jembe, akafa, mahakama ilimuachia huru mshtakiwa. The point is a point of view, reasoning na circumstances.

Akitokea mtu ana mtazamo tofauti na wewe kuhusu issue yoyote, ni busara kuuheshimu mtazamo huo tofauti hata kama haukubaliani nao, kwa kifupi unakubaliana na kutokubaliana ndio ustaarabu na sio kushambuliana!.

Ndio maana kuna ma pro-choice wanaotetea abortion as the right thing na ma pro-life kwao abortion ni murder!.

Kuna wanaounga mkono the oldest profession 'prostitution kama kazi halali na kuna waoibeza kama immoral huku wanaujua ukweli jinsi inavyowalinda mamia kwa maelfu.

Kuna waunga mkono marijuana iwe legalized na nimewaona waliofanikiwa sana accademicaly kwa kuvuta na kupasua ma AAA na pia nimewashuhudia wale inaowatuma vibaya na kuwageuza
Mazezeta. Ni mitazamo tuu na matokeo.

Kwa wewe kuwa upande wowote wa mjadala ndio view yako itaheshimiwa kwa kujenga hoja kutetea unachoamini ama kubeza kwa hoja, hoja usizokubaliana nazo na siyo kumbeza mtoa hoja ambazo hukubaliani nazo, beza hija kwa hoja, msimbeze mtoa hoja.

Mimi ni pro-choice, ile biashara ni kazi halali na jani liruhusiwe kwa linaowatuma vizuri. Huu ni mtazamo wangu kama nilivyounga alichofanya 'Dr', 'doing bad in good faith'. Ukitenda maovu kwa nia njema, unasamehewa. Kuna watu hawaamini Yuda Iskariot na Ponsio Pilato wako peponi! Kama watakavyo shangaa kuwakuta motoni baadhi ya viongozi wa dini zao!

Msinishambulie mimi, huu ndio mtazamo ninaouona mimi nikiangalia tokea upande huu nilipo na wewe huko kwa upande wako pia una mtazamo wako unaona kutokea upande wako and we are both right!.
 

Kwa kweli ndugu yangu unamjua vizuri sana Mponjoli na familia yao.
Mie nimekaa nao jirani kule majengo Mbeya na Nilikuwa nao shule ya msingi mbata Mbeya. kwa hizo information ulizotoa ni sawa kabisa.
 
I do not condone wizi wa aina yoyote lakini Im standing up right now with my hat off for this guy, simjui lakini he must have some brain and a tough heart,he deserve some credit.

Yaani Mzee unaanza kwa kusema "I do not condone wizi wa aina yoyote"

Halafu unamalizia kwa kutoa hats off.

Saafi sana!
 
ww nawe unatetea wezi sana....

......hata kama namkopa mtu akiwa mwizi ndio asikemewe? acheni kusihi kimanati huko majuu....watanzania sasa hivi mtaanza kukimbiwa kama wanaijeria.....shauri yenu......
.....hebu leave him alobe as long as hajaibia hela zako za tax then unaumia nini?.....
this is very low......yaani hapo ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho?
 
Jamaa ni ROBIN HOOD wa Tanzania siyo?

Unaweza kumlaani au unaweza kumpongeza. Ndiyo akina Tupac hao. Anafanya na kufanikiwa vizuri sana kila jambo. Akitaka kuwa mwizi anakuwa, akitaka kushughulika na malaya basi anafanya hivyo kwa bidii kweli, akitaka kusaidia anasaidia ndugu, jamaa, marafiki na malaya......... Ni vigumu kujuwa umuweke kapu gani.
 


Shadow,

Nasikitika kuwa umechelewa kupromote hao Watanzania. Ni sisi tulikuwa tumelala sana sana kwa kuambiwa "fumbeni macho tuombe". Tumekuja kufumbua na kukuta kuna EPA, Deepgreen, Meremeta,EL, RA, Anna Mkapa, nk

Sasa hivi kwa Tanzania tunahitaji njia mbili tu. Moja ni kutengeneza taifa la Wafanya biashara na wezi kama Wayahudi na/au kutengeneza taifa la Kichina kwamba "hardwork na risasi hadharani kwa vibaka....." ila wakati huohuo, kama mtu anaiba nje basi si mbaya...... (angalia Wachina wanavyosaidia unyama Sudan, ila wao mtu kauza maziwa yenye sumu wamemuuwa).

Ningelikuwa Rais, mtu kama huyu unamuingiza kwenye Usalama wa Taifa na anakuwa anaiba na pesa kuzileta Tanzania. Mwisho anafungua kampuni lake na kodi inakuwa inasaidia nchi. Ni kama Wayahudi vile.

Tukishika Misahafu na kufikiri tutafanikiwa, basi tulie tu. Na wewe unayefikiri Wazungu hawajafaidi Africa, hebu kaa kimya. Jiuliza tu kwa nini sasa hivi duniani vita vimepungua na uchumi wao unatetereka? Si wamekwama kuuza masilaha yao? Madege yao nk. Achana na wizi unaofikiri wewe. Biashara ya silaha na vita walizokuwa wanatulazimisha tupigane, vimeuwa sana uchumi na watu na wao kufaidika sana. Angalia Vita vya Almasi. Wafanya biashara wakubwa walikuwa Wayahudi (utawaona tu Berlin na makanzu yap meusi na vibahasha) na faida ikienda USA/Izrael. Wengine wanaleta silaha, wengine wanakuja kununua alimasi kwa bei chee.

Kumkodolea macho kijana kwa wizi huu si vyema. Alichofanya kweli si kizuri, ila DUNIA YA LEO NDIVYO ILIVYO. Kama wewe hujajua hilo basi pole sana, inawezekana kijana wa Kinyakyusa alilijua hilo. Ntamvulia kofia atakayekuja kuwaliza Wayahudi. Ila hawa nasema kabisa, be careful. Watakutafuta hata kwenye mvungu wa kitanda wa nyanya yako. Long live ROBIN HOOD.
 
Duh! haya bila ufisadi kuyapata kazi...
 
Kwa nini uupate utajiri wa dunia hii isivyo halali na ukufanye uutumikie kwa maovu halafu uukose ufalme wa Mbinguni???
 
Kwa nini uupate utajiri wa dunia hii isivyo halali na ukufanye uutumikie kwa maovu halafu uukose ufalme wa Mbinguni???

...si mpaka ufike huko mbinguni! 'Agents' wao wanapatikana wapi, nataka kuweka order yangu!
 

wewe bwana na wewe saa nyingine una sound kama wale wapiga ngoma za mchiriku unajua...ugggggggggh!....

Na ninasema tena Leave hima lone sema hujapata hiyo opportunity basi mnamshambulia....yeye mpojoli has to do what a man has to do kulisha familia yake he as a year to go na akitoka utamuona anadunda tuu mwenzio sasa hivi ana aprtment building kajenga bongo na anaingiza bado hela yake...na bado biashara zake zingine halali wewe jee?what do you have kukaa jf na kumuongelea yeyeye hahahaha that is a loose loose situation!...gadammit!..

watu mnamshupalia kaka wa watu kama pilipili bwana....you need to get a life this is gadam 2009./...wewe unadiscuss vitu vya mwaka 2007...hebu nendeni na wakati kudadake.
 
Kelly, upo kwenye roster ya mponjoli nini?
Naona umekasirika kweli kama ile kesi ya makili......ingawa kuna tofauti.

Kuiba kaiba hata ikiwa aliiba kwa ajili ya familia au kutaka kutushika masikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…