Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya mambo ambayo yanawaangamiza Waafrika ni kufikiri maendeleo ya Ulaya yamepatikana kwa kuibia Waafrika. Huku ni kufikiri "kijinga" na ni hatari sana hasa ukitilia maanani wanaofikiri hivi ni wale wasomi wanaotegemewa kuongoza mapambano ya umaskini. Haya ni mawazo mgando yanayotulemaza na kuzidi kutudumbukiza kwenye dimbwi la umaskini.
Mponjoli Asobenye Malakasuka ni mtoto mwenye mafanikio sana kutoka katika familia ya watoto wapatao 30 wa familia ya mzee Asobenye Malakasuka.
Mzee Asobenye Malakasuka ni tajiri aliyefilisika na mmiliki wa kampuni iliyokufa ya Ghana Building Contractors ya Mbeya. Katika miaka ya 1990 - 1995 kampuni hii ilikuwa ni moja ya kampuni machachari sana ya ujenzi katika nchi ya Tanzania. Na Mzee Asobenye alipata tenda nyingi sana kutoka serikalini na alikuwa kwa kweli ni moja ya matajiri wakubwa sana Tanzania.
Alipata ajali mbaya sana ya gari ambayo mpaka leo imemuacha kiziwi kabisa na hawezi kusikia hata kidogo. Mzee huyu kwa sasa ni masikini wa kutupa na anaishi na mke wake wa tano hapo Victoria House Plot Number 36, Ali Hassan Mwinyi Road, Mwananyamala. Anaishi katika nyumba ya chumba kimoja na familia ya watu wapatao 5 na mtoto wake wa mwisho anaitwa Gwabosa ambaye ana umri wa miaka ipatayo 16, na katoto hako ni MALAYA hatari.
Sababu kubwa ya Mzee Malakasuka kuishi maisha haya ni ukweli kuwa huyu Mzee ni kiwembe sana kwa wanawake na katika kipindi chote cha utajiri wake aliwekeza sana kwa wanawake na hata kuna wakati Mponjoli alikuja kumlilia shida zake ila Mzee huyu alimpa mgongo, sasa nadhani ilimuudhi sana mwanae huyu. Ila kwa habari nilizo nazo last time nimekutana na Mponjoli Bongo around August 15-25 alikuwa na mawasiliano na Baba yake na akienda Bongo kwa kweli Baba yake alikuwa anapata mshiko wa kufa mtu. Ila mwanamke anayeishi nae sasa kabinti hako ka miaka kama 35 hivi ndo anayefanya watoto wa Mzee huyu kumsusa Baba yao kwani kila wanachompa Mama huyu anachukua na kufanyia mambo yake.
Mzee Malakasuka ana kama miaka 70 au 75 kwa sasa. Mtoto wake wa kwanza Frank huyo ambaye mnamsema hapo juu kuwa alikuwa kiwembe, YES ni Marehemu kwa sasa na lile gonjwa la kisasa. Tulimzika mwaka 2003 kama sijakosea na dada yake mwingine pia tulimzika. Nadhani Familia ya Frank yote ni marehemu kwa sasa. Kaka yake mwingine anaitwa Hebron Malakasuka nae nadhani karibia tutamzika, huyu alikuwa anaishi Uingereza sasa yuko Bongo na mke wake ambaye nakumbuka miaka ambayo mumewe alikuwa UK nilishakutana nae akitoka Guest House fulani hivi na mbaba mwingine. Of course wote ni waadhirika so kwa sasa nadhani wameamua tu kuishi kwa matumaini.
Mponjoli amekuwa ndiye mtoto pekee wa Asobenye Malakasuka ambaye aliibukia kuwa na hela nyingi tu na kufanya mambo mazuri. Amemjengea Mama yake nyumba nzuri sana huko Mbezi beach na kumuanzishia biashara mbalimbali. Ila kikwazo kikubwa ni mdogo wa Mponjoli anayependa raha bila kufanya kazi anaitwa NIco Asobenye Malakasuka. Huyo bwana yeye bia na bia yeye. Huyo ndiye aliyemfanya Mponjoli kurudi Bongo na kuuza magari yote ya biashara na kufunga miradi yake yote Bongo. Ila Mama yake na Mponjoli hana shida naishi maisha safi na mara nyingi amekuwa akimpelekea Mzee Malakasuka hela ya kula na kumsaidia hapa na pale.
Mponjoli ni shujaa wa familia ya Mzee Asobenye, wewe unadhani kuwa na ndugu zaidi ya 25 hao ni wa kuzaliwa nao je wajomba na shangazi na wengineo? Kijana huyu amekuwa akiwasomesha wote na kuwapa hela ya kula na kuishi hapo Tanzania. Mazingira ndiyo yaliyomfanya kijana huyu akawa kama alivyo. Mponjoli asilaumiwe hata kidogo. Ahurumiwe kwa mzigo aliokuwa nao Tanzania.
Hayo mengine ni mambo ya kibiinadamu na kila mtu ana udhaifu wake. Kama aliuwa malaya basi ni sababu katika yeye kuna Genes za Mzee Malakasuka. Nitasema mengi zaidi kuhusu Mponjoli binafsi wakati mwingine ila hiyo ni INTRODUCTION.
London Mponjoli ana dada yake anaitwa Feda nadhani na dada yake mmoja kajaa jaa sana huyo yeye ni kama gangstar fulani anaitwa Eddy. Nadhani watamkumbuka kaka yao na kumpiga tafu.
Huyo Feda alishaiibiaga Bank ya NBC na kutorokea UK, so si mbaya ukaona hawa ndiyo staili yao hiyo.
I do not condone wizi wa aina yoyote lakini Im standing up right now with my hat off for this guy, simjui lakini he must have some brain and a tough heart,he deserve some credit.
ww nawe unatetea wezi sana....duh! hii kitu ya mponjoli imetokea mwaka 2007 bado watu mnaongelea tuu hadi leo hii!....woooooooow!..
hapa kuna watu wanapiga kelele wakati walikuwa wa kwanza kumpigia mponjoli na kumkopa na wala hana kinyongo na mtu alikuwa anasaidia kila mtu.....hebu leave him alobe as long as hajaibia hela zako za tax then unaumia nini?.....
this is very low......yaani hapo ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho?.....hebu leave him alobe as long as hajaibia hela zako za tax then unaumia nini?.....
With Due respect:
Mwizi ni mwizi hata umpambe kwa majina ya dhahabu. We need to promote people of high moral esteem na siyo wezi. Hivi lini tutaacha kushabikia wezi? mtu anaiba unajisifu kwamba 'jamaa mjanja'. Matokeo nchi imeweka reani kwa wabaka uchumi kupitia ushabiki wetu huu huu. Inatia uchungu sana mwizi kuitwa patriotic na patriotic kuitwa 'wakuja'.
Watanzania tubadilike kutoka katika kupenda 'short cut' kina Mponjoli et al.
God bless true Tanzanians!
Duh! haya bila ufisadi kuyapata kazi...Hii ndiyo siri ya Vogue nyingi Dar? Kwa sasa Cadilac brand new, Audi mpya kabisa, Navigator brand new n,k si kitu cha ajabu Dar. Watu wana magari mpaka inakuwa ngumu kuamini vyanzo vya pesa za kununua magari makali kiasi kile zinapatikana vipi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa nini uupate utajiri wa dunia hii isivyo halali na ukufanye uutumikie kwa maovu halafu uukose ufalme wa Mbinguni???
ww nawe unatetea wezi sana....
......hata kama namkopa mtu akiwa mwizi ndio asikemewe? acheni kusihi kimanati huko majuu....watanzania sasa hivi mtaanza kukimbiwa kama wanaijeria.....shauri yenu......
this is very low......yaani hapo ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho?