Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
enjoy the pride of africa...wacha story mingi😀😀not mitungi ya chang'aa or foreign airlineHayo unayoita mitungi ya changa.. Ni bombardier q400 ni moja ya regional plane efficent sana.. Yenyewe pamoja na atr72..ndo maana hata Ethiopian(mkubwa wenu) wananunua zaid ya 30kama hizo.. Sasa nyie kampuni lenyewe mnahisa tu bado unasifia kama lenu.. Heri sisi 100% owned na gov..na loss inakaribia kufutika ..nyie loss kila mwaka.. Shirika halina faida hewa tu.. Ndege me sub lease.. Hilo shirika lina pumulia pipe.. Ingawa liko hai
Mombasa has several international airlines landing there, Qatar is just an addition on our second city..,Mm nmeona umetupia mada ya qatar.. Na hapo tumewapiga gap la kutosha... Kama mnaanza flights mwaka huu
Hahaha!!!
A Kenyan company. Lazima tuwaletee haya mambo.The buses belong to the same company, I think they are coming to Dar too, They are in Kampala, Now Mombasa, next May be Dar and Nai.
Hayo unayoita mitungi ya changa.. Ni bombardier q400 ni moja ya regional plane efficent sana.. Yenyewe pamoja na atr72..ndo maana hata Ethiopian(mkubwa wenu) wananunua zaid ya 30kama hizo.. Sasa nyie kampuni lenyewe mnahisa tu bado unasifia kama lenu.. Heri sisi 100% owned na gov..na loss inakaribia kufutika ..nyie loss kila mwaka.. Shirika halina faida hewa tu.. Ndege me sub lease.. Hilo shirika lina pumulia pipe.. Ingawa liko hai
forget most efficient turbo-prop engine, Ndege ya E195-E2 ndio worlds most efficient narrow body aircraft, pia ni worlds most quiet airplane of its size, Kenyaitanunua ndege 15 . The Most Efficient Commercial Jet in the World - Advanced Science NewsHayo unayoita mitungi ya changa.. Ni bombardier q400 ni moja ya regional plane efficent sana.. Yenyewe pamoja na atr72..ndo maana hata Ethiopian(mkubwa wenu) wananunua zaid ya 30kama hizo.. Sasa nyie kampuni lenyewe mnahisa tu bado unasifia kama lenu.. Heri sisi 100% owned na gov..na loss inakaribia kufutika ..nyie loss kila mwaka.. Shirika halina faida hewa tu.. Ndege me sub lease.. Hilo shirika lina pumulia pipe.. Ingawa liko hai