Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
enjoy the pride of africa...wacha story mingi😀😀not mitungi ya chang'aa or foreign airlineHayo unayoita mitungi ya changa.. Ni bombardier q400 ni moja ya regional plane efficent sana.. Yenyewe pamoja na atr72..ndo maana hata Ethiopian(mkubwa wenu) wananunua zaid ya 30kama hizo.. Sasa nyie kampuni lenyewe mnahisa tu bado unasifia kama lenu.. Heri sisi 100% owned na gov..na loss inakaribia kufutika ..nyie loss kila mwaka.. Shirika halina faida hewa tu.. Ndege me sub lease.. Hilo shirika lina pumulia pipe.. Ingawa liko hai