Huhitajiki kua na Elimu ,kwamba umsikilize LISSU alafu usiuone Uwezo mkubwa wa Akili na Karama alizojaaliwa.
LISSU ni MTU anayepatikana Kwa NADRA .
Hotuba zake zote Huwa ni Shule anayotoa , ni ngumu sana kumpata Mtanzania anaongea vitu Kwa Rejea Kadhaa wa Kadhaa.
Hii Unamaanisha LISSU akisoma, kinakaa kichwan na anakumbukumbu za kiupekee Sanaa na za karibu .
Ila ni kawaida sana Kwa watu wajinga ,wabinafsi , waoga, wasopenda kuchalenjiwa kumdhihaki na kumuona ni Threat.