Lwaitama: Hasira za Wananchi na Madai ya Katiba Mpya Zimechochewa na Tamaa ya Ugatuzi wa Mamlaka

Lwaitama: Hasira za Wananchi na Madai ya Katiba Mpya Zimechochewa na Tamaa ya Ugatuzi wa Mamlaka

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Azaveli Lwaitama, amebainisha kuwa hasira za wananchi na madai ya Katiba Mpya nchini zinachochewa na hulka ya asili ya mwanadamu ya kutopenda kutawaliwa wala kuswagwa, bali kutaka ugatuzi wa kweli wa mamlaka.

Kauli hiyo imetolewa leo, Septemba 15, 2026, mkoani Dar es Salaam na Mzee Lwaitama wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyofanywa na CHADEMA.

Akifafanua msingi wa matubwa ya mabadiliko nchini, ametahadharisha kuwa hasira zilizojitokeza mwaka jana hazitokani na chama fulani cha siasa kama baadhi ya watu wanavyofikiria, bali zinatokana na hamu ya wananchi kujitawala zaidi.


View: https://www.instagram.com/p/DdUQuCCMExO/
 
Sahihi, Madaraka makubwa ya Raisi Hadi kuvunja katiba! Mfano kuzuia maandamano,kuteuateua Kwa vigezo visivyo hojiwa nk!
 
Back
Top Bottom