Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

Muungano wa vyama hautawezekana hadi pale wananchi watakapshtuka kuwa mdudue cdm si chama cha siasa bali ni kampuni binafsi inayotumia mgongo wa ccm kwa ajili ya faida ya wanahisa ambao ni mzee Mbowe na Baba mkwe wake.
Wewe ukishashtuka inatosha.wengine hatuna akili za kushikiwa kama zako.
 
Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao:

View attachment 2926733

“Mukitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilicho madarakani kwa kujitenga." Amesema Lwaitama.

Tupambanao dhidi ya CCM, letu ni moja. Tunapaswa kuwa wamoja.

"Zimwi likujualo hali kuli likakwisha."

Prof. Lwaitama, muumini wa mfano wa dhana ya jamili ya kutokuwa na maadui au marafiki wa kudumu katika siasa.
Lwaitama ameongea kama Brazaj kuwa,

Ili kuyapata Maslahi ya nchi lazima kuungana Kwa pamoja bila kubagua vyama.

Wote wenye Uzalendo na Nchi Yao waungane kupaza sauti Kwa pamoja.

Naona hili limeanza kueleweka, utaona now sauti ya Watanzania Diaspora na CDM wako pamoja, Mdude, Mwabukusi, Slaa, Madeleka, Mch barikiwa , TEC, na makundi mengine yanazidi kukaribishwa.

Aluta continua💪
 
Lwaitama ameongea kama Brazaj kuwa,

Ili kuyapata Maslahi ya nchi lazima kuungana Kwa pamoja bila kibagua vyama.

Wote wenye Uzalendo na Nchi Yao waungane kupaza sauti Kwa pamoja.

Naona hili limeanza kueleweka, utaona now sauti ya Watanzania Diaspora na CDM wako pamoja, Mdude, Mwabukusi, Slaa, Madeleka, Mch barikiwa , TEC, na makundi mengine yanazidi kukaribishwa.

Aluta continua💪

Somo hili kwa makamanda uchwara ni gumu na chungu kuliko shubiri.

CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

Lakini si kwa makamanda wa ukweli waliodhamiria kwa dhati, kuikomboa nchi hii kwa kuyafurusha ma CCM pasipo na kuyaonea haya.

johnthebaptist, Lumumba pale kaeni kwa kutulia.
 
Hapendi kabisa kuitwa profesa,ukimuita mwalimu anafurahia zaidi.

Hilo linafahamika lakini kuacha kumwita hivyo ila kuwaita hawa wengine itakuwa si kumtendea haki kwa hakika.

Ikumbukwe hata Nyerere hakupenda chochote kabisa kuitwa kwa jina lake.

Si kuwa wema hawafi, bali hawajikwezi.

"Viva Profesa Lwaitama ama hakika kutokea jalalani unawakilisha!"
 
Hapendi kabisa kuitwa profesa,ukimuita mwalimu anafurahia zaidi.
namkubali sana huyu jamaa. Ni kielelezo cha ubora wa udsm ya miaka iliyopita.

walimu wa dizaini hii wamepotea kabisa pale. saizi wamebaki machawa tu wengi wao na wangojea uteuzi

hiki kizazi cha kina shivji, lwaitama, chachage hakipo tena pale
 
Ni huyu mwamba hapa:

CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

Haupo uhakika kama makamanda uchwara[)u] wanayo japi capacity tu ya kumwelewa huyu nguli.

NB: tofautisha makamanda wa ukweli na wale uchwara.
 
namkubali sana huyu jamaa. Ni kielelezo cha ubora wa udsm ya miaka iliyopita.

walimu wa dizaini hii wamepotea kabisa pale. saizi wamebaki machawa tu wengi wao na wangojea uteuzi

hiki kizazi cha kina shivji, lwaitama, chachage hakipo tena pale
Miaka ya wakina Chachage kila nilipokiwa Dar,nilikuwa natembelea sana UDSM, hasa UDASA na Migombani - Survey kupata madini, lakini sasa hivi kila nikienda hawa jumuiya ya UDSM ni full kujipendekeza kwa serikali.

UDSM iliondoka na Prof. Luhanga.
 
Back
Top Bottom