Wewe ukishashtuka inatosha.wengine hatuna akili za kushikiwa kama zako.Muungano wa vyama hautawezekana hadi pale wananchi watakapshtuka kuwa mdudue cdm si chama cha siasa bali ni kampuni binafsi inayotumia mgongo wa ccm kwa ajili ya faida ya wanahisa ambao ni mzee Mbowe na Baba mkwe wake.
Anamisimamo yako huyo mzee Lwai
Lwaitama ameongea kama Brazaj kuwa,Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao:
View attachment 2926733
āMukitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilicho madarakani kwa kujitenga." Amesema Lwaitama.
Tupambanao dhidi ya CCM, letu ni moja. Tunapaswa kuwa wamoja.
"Zimwi likujualo hali kuli likakwisha."
Prof. Lwaitama, muumini wa mfano wa dhana ya jamili ya kutokuwa na maadui au marafiki wa kudumu katika siasa.
Lwaitama ameongea kama Brazaj kuwa,
Ili kuyapata Maslahi ya nchi lazima kuungana Kwa pamoja bila kibagua vyama.
Wote wenye Uzalendo na Nchi Yao waungane kupaza sauti Kwa pamoja.
Naona hili limeanza kueleweka, utaona now sauti ya Watanzania Diaspora na CDM wako pamoja, Mdude, Mwabukusi, Slaa, Madeleka, Mch barikiwa , TEC, na makundi mengine yanazidi kukaribishwa.
Aluta continuašŖ
Hao ndio wafia chamaHamzidi mzee Mbowe ambae amekuwa mwenyeketi wa chama kwa zaidi ya miaka ishirini na zaidi .Tunajua sababu haswa ni maslahi ya familia yake ndio kikwazo kikuuu.
Hao ndio wafia chama
Hapendi kabisa kuitwa profesa,ukimuita mwalimu anafurahia zaidi.Ni kawaida kwa Prof. Lwaitama kupiga mule mule, tofauti ya wazi na wale wa jalalani.
Hapendi kabisa kuitwa profesa,ukimuita mwalimu anafurahia zaidi.
hahahahaaaaaZitto anayapokea maneno haya kwa sikio la kushoto halafu yanatokea sikio la kulia. Huwa haelewi kabisa.
namkubali sana huyu jamaa. Ni kielelezo cha ubora wa udsm ya miaka iliyopita.Hapendi kabisa kuitwa profesa,ukimuita mwalimu anafurahia zaidi.
namkubali sana huyu jamaa. Ni kielelezo cha ubora wa udsm ya miaka iliyopita.
walimu wa dizaini hii wamepotea kabisa pale. saizi wamebaki machawa tu wengi wao na wangojea uteuzi
hiki kizazi cha kina shivji, lwaitama, chachage hakipo tena pale
Miaka ya wakina Chachage kila nilipokiwa Dar,nilikuwa natembelea sana UDSM, hasa UDASA na Migombani - Survey kupata madini, lakini sasa hivi kila nikienda hawa jumuiya ya UDSM ni full kujipendekeza kwa serikali.namkubali sana huyu jamaa. Ni kielelezo cha ubora wa udsm ya miaka iliyopita.
walimu wa dizaini hii wamepotea kabisa pale. saizi wamebaki machawa tu wengi wao na wangojea uteuzi
hiki kizazi cha kina shivji, lwaitama, chachage hakipo tena pale