Lwakatare amwekea DPP pingamizi

Lwakatare amwekea DPP pingamizi

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
807
Reaction score
385
Mawakili wa lwakatare wataweka pingamizi la awali( preliminary objection) kutokana na ombi lililowasilishwa na DPP katika mahakama ya rufani kupitia upya rulling ya high court

sababu ni maombi haya kutoambatanishwa na nakala ya hukumu na pia defective ya affidavit
 
Penye nyekundu umeniacha kidogo naomba ushirikiano ili niweze kuwa mstari mmoja na wewe kwenye hii thread
 
Penye nyekundu umeniacha kidogo naomba ushirikiano ili niweze kuwa mstari mmoja na wewe kwenye hii thread

Umeambiwa Lwakatare ndo kakata rufaa kwa sababu hizo. sasa wewe unamuuliza mleta post ili iweje?. Hayo ni maneno ya kisheria na huwezi kuyajua yote. mia
 
Yan ndovu wetu,rushwa,mikataba feki,mauaji ya wAandishi wa habari na viongozi wa jumuiya mbalimbali haya mambo DPP angekuwa anakomaa hvi angepata fadhira za mwenyezimungu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jaji aliyefuta yale mashitaka ya matatu hakufuata sheria alifuta kihuni baada ya kula rushwa.
 
Jaji aliyefuta yale mashitaka ya matatu hakufuata sheria alifuta kihuni baada ya kula rushwa.
Mlivozoea kutoa rushwa mahakamani mnadhani kila kesi inaendeshwa kwa rushwa! magamba bwana!
 
R.I.P. Chacha Zakayo Wangwe.

Damu za watu zilizomwagwa na CHADEMA zitaendelea kuililia CHADEMA hadi haki ipatikane.
 
Kaduli lazima atwambie alipewa kiasi gani cha fedha ndipo akafuta yale mashitaka hatuwezi kuendesha mahakama kihuni kiasi hicho.
 
Kaduli lazima atwambie alipewa kiasi gani cha fedha ndipo akafuta yale mashitaka hatuwezi kuendesha mahakama kihuni kiasi hicho.
Kwani Mwigulu alimpa jaji Kaduri shilingi ngapi akakataa?

Uhuni upo CCM mahali ambapo Mwenyekiti wa CCM(Kikwete) ana halalisha mbio za urais kwa siri halafu katibu Mwenezi (Nape) anatangaza hadharani kuzuia mbio za urais.
Yaani kila mtu anasharubu kama Kambale ndani ya CCM.
 
Kaduli lazima atwambie alipewa kiasi gani cha fedha ndipo akafuta yale mashitaka hatuwezi kuendesha mahakama kihuni kiasi hicho.

Hizi propaganda naona zimeanza baada ya kuvuja kwa taarifa kwamba kuna vijana wameajiriwa na ccm kwa Tsh 7,000 ili waandike habari za kuisaidia ccm hapa JF. Hata hivyo, kuzusha habari za uwongo na kipropaganda haitazisaidia sana ccm. Kwani JAJI alipewa Tsh ngapi? Lini? wapi? Nani alimpa? Je, unaweza kutoa ushahidi? Ni ushauri tu kwamba acheni propaganda.
 
R.I.P. Chacha Zakayo Wangwe.

Damu za watu zilizomwagwa na CHADEMA zitaendelea kuililia CHADEMA hadi haki ipatikane.
R.I.P Sokoine, R.I.P Imran Kombe, R.I.P Karume R.I.P Daudi Mwangosi, R.I.P Kolimba.

Damu za Mashujaa hao zilizomwagwa na CCM ni laana tosha kwa kifo cha milele cha CCM na serikali yake.
 
Naamini uzi unaweza usijadiliwe facts zake kutokana na ujinga wa baadhi ya watu kuendekeza ushabiki. Mtu kauoliza watu hawajibu kazi longo longo.
 
Back
Top Bottom