Lwakatare amwekea DPP pingamizi

Lwakatare amwekea DPP pingamizi

R.I.P Sokoine, R.I.P Imran Kombe, R.I.P Karume R.I.P Daudi Mwangosi, R.I.P Kolimba.

Damu za Mashujaa hao zilizomwagwa na CCM ni laana tosha kwa kifo cha milele cha CCM na serikali yake.

Umesahau kubwa zaidi,

R.I.P

Baba wa Taifa na mtetezi wa wanyonge Mzee Julius Kambarage Nyerere,

Ulienda London unatembea akarudi ukiwa kwenye jeneza!
 
Naona Mwigulu yuko busy kutengeneza Lwakatare part 2. Ule ushahidi wa duniani na mbinguni usikute ndio uliompeleka kwa waalam wa bidhaa fake duniani. Na hizi dana dana zinazopigwa ku buy time.! Hakimu anakula bata watu wanasota mahabusu.
 
we bavicha hamna unachojua acha tuongee tunaojua jinsi chadema wanavyotoa rushwa.

Kwa hiyo hiyo PCCB ilishindwa kumkamata mtoa na mpokea rushwa? Kama wewe ulipata taarifa za uwepo wa rushwa na usalama wa Taifa, Polisi hawana taarifa nchi hii iko salama kiasi gani?Na ukizingatia taasisi nyingi nyeti zilizopaswa kuzuia uovu huo ziko chini ya Ofisi inayokaliwa na mwenyekiti wa CCM taifa, huoni kwamba nchi yetu haiko salama?Na kama rushwa ilitolewa,mkapata taarifa; mmeisaidiaje serikali kufanya uchunguzi au kama kawaida yetu mnakuja kutapikia JF? Na kama ni kweli ila vyombo vilivyoko chini ya ofisi ya Amiri Jeshi Mkuuu havijachukua hatua kali, huoni nchi hii ina KIONGOZI DHAIFU? Post nyingine zinawadhalilisha wanaowalipa posho.....! Post yako inaonesha SERIKALI ilivyo DHAIFU katika kutekeleza majukumu yake...!Na kwa sababu hiyo,hela wanayochukua kwa kazi wasiyoifanya ni sawa na KUTUIBIA!
Asante kwa kutupa ushahidi zaidi kwamba tuna njaa ya viongozi bora....2014/5 tukutane!
 
huyu DPP si ndiye alikuwa ICU na watu wanashinda misikitini, makanisani nakwingineko wakimuombea apone!? Sasa ubinadamu uko wapi!
 
Umesahau kubwa zaidi,

R.I.P

Baba wa Taifa na mtetezi wa wanyonge Mzee Julius Kambarage Nyerere,

Ulienda London unatembea akarudi ukiwa kwenye jeneza!
We kumbe mgonjwa wa akili.

Hakika wewe sio timamu.

Na bavicha ndio inakufaa kwa akili kama hizi.
 
huyu dpp si ndiye alikuwa icu na watu wanashinda misikitini, makanisani nakwingineko wakimuombea apone!? Sasa ubinadamu uko wapi!


ni binadamu ndio lakini anaweza akawa anapokea amri tu.kazi yake ni kutekeleza.huoni yanayotokea bungeni mkuu?.kiti kinayumba kama merikebu iliyokumbana na dhoruba kali katikati ya baharini.NILIKUWA NAPITA TU,
 
kuna watu wanaroho za masisiemu ndani ya CDM tutahkikisha mnangoka wote maana hamwezi kushindana na aliyopanga MUNGU......! Kila la heri jembe LWAKATALE lazma urudi tuyaendeshe masisiemu eti hayaoni ufuska wao ila yanajitahidi kuzma moto wa CDM!
 
huyu DPP si ndiye alikuwa ICU na watu wanashinda misikitini, makanisani nakwingineko wakimuombea apone!? Sasa ubinadamu uko wapi!

Yule mgonjwa wa malaria ring 500 ni DCI,Robert Manumba,huyu DPP ni Elieza Feleshi
 
mahakama ni chombo kinachohakikisha haki inapatikana mm sina mashaka na mahakama zetu ziko imara
 
Back
Top Bottom