Mawakili wa lwakatare wataweka pingamizi la awali( preliminary objection) kutokana na ombi lililowasilishwa na DPP katika mahakama ya rufani kupitia upya rulling ya high court
sababu ni maombi haya kutoambatanishwa na nakala ya hukumu na pia defective ya affidavit
Penye nyekundu umeniacha kidogo naomba ushirikiano ili niweze kuwa mstari mmoja na wewe kwenye hii thread
Mlivozoea kutoa rushwa mahakamani mnadhani kila kesi inaendeshwa kwa rushwa! magamba bwana!Jaji aliyefuta yale mashitaka ya matatu hakufuata sheria alifuta kihuni baada ya kula rushwa.
Jaji aliyefuta yale mashitaka ya matatu hakufuata sheria alifuta kihuni baada ya kula rushwa.
Kufutwa kwa kesi ya kukata rufaa iliyofunguliwa na DDP.Implication yake ni nini?
Mlivozoea kutoa rushwa mahakamani mnadhani kila kesi inaendeshwa kwa rushwa! magamba bwana!
Kwani Mwigulu alimpa jaji Kaduri shilingi ngapi akakataa?Kaduli lazima atwambie alipewa kiasi gani cha fedha ndipo akafuta yale mashitaka hatuwezi kuendesha mahakama kihuni kiasi hicho.
Kaduli lazima atwambie alipewa kiasi gani cha fedha ndipo akafuta yale mashitaka hatuwezi kuendesha mahakama kihuni kiasi hicho.
R.I.P Sokoine, R.I.P Imran Kombe, R.I.P Karume R.I.P Daudi Mwangosi, R.I.P Kolimba.R.I.P. Chacha Zakayo Wangwe.
Damu za watu zilizomwagwa na CHADEMA zitaendelea kuililia CHADEMA hadi haki ipatikane.