Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
R.I.P Sokoine, R.I.P Imran Kombe, R.I.P Karume R.I.P Daudi Mwangosi, R.I.P Kolimba.
Damu za Mashujaa hao zilizomwagwa na CCM ni laana tosha kwa kifo cha milele cha CCM na serikali yake.
we bavicha hamna unachojua acha tuongee tunaojua jinsi chadema wanavyotoa rushwa.
umeambiwa lwakatare ndo kakata rufaa kwa sababu hizo. Sasa wewe unamuuliza mleta post ili iweje?. Hayo ni maneno ya kisheria na huwezi kuyajua yote. Mia
We kumbe mgonjwa wa akili.Umesahau kubwa zaidi,
R.I.P
Baba wa Taifa na mtetezi wa wanyonge Mzee Julius Kambarage Nyerere,
Ulienda London unatembea akarudi ukiwa kwenye jeneza!
huyu dpp si ndiye alikuwa icu na watu wanashinda misikitini, makanisani nakwingineko wakimuombea apone!? Sasa ubinadamu uko wapi!
huyu DPP si ndiye alikuwa ICU na watu wanashinda misikitini, makanisani nakwingineko wakimuombea apone!? Sasa ubinadamu uko wapi!