Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Wabongo tunaongea sana ndio maana tunapitwa na nchi kama Kenya ambazo hazina rasilimali kama hapa.Rais kajibu vizuri sana na ndio jibu alikostahili kupewa Rwakatale,
Jamani muangalieni Antony Mtaka mkuu wa mkoa wa Simiyu.juzi tu kafika kule,kachukua vijana wasomi na wasio wasomi,kakaa nao chini akawaambia waandike proporsal ya nini kifanyike ktk mkoa wao.wamekuja na miradi kibao kumbuka Kagera ni moja ya mikoa yenye wasomi sana.
Wale vijana wakaja na vitu kibao,mwisho wa siku mkuu wa Mkoa aka prioritize zile proporsal.Wakaanza na Chaki,na Maziwa.ni rasilimali zilizipo hapo hapo na Singida ndiko wanatoa material ya Chaki.Juzi rais wa ZNZ kaenda kununua Chaki za ZNZ nzima toka Simiyu.huoni kama sasa hivi Simiyu ni hot cake?kilichosaidia ni Mtaka kuunganisha mawazo ya vijana wasomi na wasio wasomi na wenye upeo mkubwa na wametokana kitu.Next time anakuja a Chupa za Drip za mahospitali ambazo malighafi yake ni Pamba na Simiyu ni mmoja wa wazalishaji wakubwa wa Pamba.sasa hivi wizara ya afya wanaagiza chupa hizo toka Uganda.
Sasa niambie huyo Rwakatale kwa ushawishi wake wa kisiasa kama Rais wa mkoa ameshindwa nini?na sio yeye tu na wakuu wa mikoa wengine wana rasilimali kibao mikoani mwao lakini wanalia lia kama huko Rukwa.
Jamani tusiongee kama hatuna vichwa tuwe sehemu ya mabadiliko tunayoyataka.
Big up Magufuli,Big up Antony Mtaka,Big up Watu wa Simiyu.
Nakupenda Tanzania nchi yenye maziwa na asali ambayo watu wake waliowengi hawaioni.
 
Roho mbaya haijengi .
Sasa roho mbaya ipi mdau unajua sisi watanzania tunapenda sana kudanganywa hivyo vifaa haagizi yeye wala bei yake haijui yeye achojua lipa kodi na yule mfanyabiashara analeta kwa ajili ya kupata faida leo hii uje umwambie akushushe bei kivipi
Kama kweli walikuwa na nia ya kupata vya raisi wangechangishana wananchi pamoja na wanabukoba , kagera walio nje ya huo mji kwa umoja wao wangenunua material za ujenzi hapo Dubai ambazo ni bora na ni rais wakakodi kontena la pamoja halafu likifika hapo bandarini hapo sasa ndio mtaweza kuongea kiswahili na Rais na mkaelewana lakini vinginevyo ni ngumu
 
Huyo ndio Magufuli hakopeshi.!
Huku huko Bukoba, kwenye hotuba yake kuhusu wahanga wa tetemeko kutojengewa nyumba, alisema "Naweza nisiwe mwanasiasa mzuri sana, ila ni mimi ni mtendaji mzuri sana". Huyo ndio raisi wetu bana!
 
Kamjibu VIZURI SANA akili ya VYA BURE SI KWA ZAMA HIZI.......kwenye hili acheni UNAFIKI
Wa kuacha unafiki ni nyie mnaodanganya hata nafsi zenu ili kujipendekeza bila hata chembe ya utu wala aibu. Mhanga wa janga lazima asaidiwe ili aweze kurudi kwenye hali yake. Ndio utaratibu. Kama serikali inakatalia pesa zake zilizokobajetiwa kwa ajili ya maafa, basi waachie na wawape pesa zilizochangwa na waliojitoa kuchangia. Watz wenzetu bado wanalala kwenye mahema, hali ya lishe bado ni ya kiwango cha chini, ETI wakalime wasubiri mazao. Inakuja kweli. Mungu tusaidie. AMEN
 
Wabongo tunaongea sana ndio maana tunapitwa na nchi kama Kenya ambazo hazina rasilimali kama hapa.Rais kajibu vizuri sana na ndio jibu alikostahili kupewa Rwakatale,
Jamani muangalieni Antony Mtaka mkuu wa mkoa wa Simiyu.juzi tu kafika kule,kachukua vijana wasomi na wasio wasomi,kakaa nao chini akawaambia waandike proporsal ya nini kifanyike ktk mkoa wao.wamekuja na miradi kibao kumbuka Kagera ni moja ya mikoa yenye wasomi sana.
Wale vijana wakaja na vitu kibao,mwisho wa siku mkuu wa Mkoa aka prioritize zile proporsal.Wakaanza na Chaki,na Maziwa.ni rasilimali zilizipo hapo hapo na Singida ndiko wanatoa material ya Chaki.Juzi rais wa ZNZ kaenda kununua Chaki za ZNZ nzima toka Simiyu.huoni kama sasa hivi Simiyu ni hot cake?kilichosaidia ni Mtaka kuunganisha mawazo ya vijana wasomi na wasio wasomi na wenye upeo mkubwa na wametokana kitu.Next time anakuja a Chupa za Drip za mahospitali ambazo malighafi yake ni Pamba na Simiyu ni mmoja wa wazalishaji wakubwa wa Pamba.sasa hivi wizara ya afya wanaagiza chupa hizo toka Uganda.
Sasa niambie huyo Rwakatale kwa ushawishi wake wa kisiasa kama Rais wa mkoa ameshindwa nini?na sio yeye tu na wakuu wa mikoa wengine wana rasilimali kibao mikoani mwao lakini wanalia lia kama huko Rukwa.
Jamani tusiongee kama hatuna vichwa tuwe sehemu ya mabadiliko tunayoyataka.
Big up Magufuli,Big up Antony Mtaka,Big up Watu wa Simiyu.
Nakupenda Tanzania nchi yenye maziwa na asali ambayo watu wake waliowengi hawaioni.
Naona Antoni umeamua kuja na ID yako nyingine.safi sana kwa kujipigia debe.
 
Sijidanganyi ndugu,so wewe unataka tubakie waagizaji wa toothpicks from China wakati miti inaoza Iringa?
Hebu kuwa mkweli mjomba?tuendelee kuagiza viberiti Indonesia wakati Kibo Match ipo Moshi?Bro na Ng'ombe wote hawa wa wasukuma na wamasai bado tunaagiza ngozi kutoka Kenya?Tanneries iko wapi?kama imekufa tunaifufua lini?
Bro usiwe mshabiki ona Antony Mwaka mmoja ana viwanda viwili akikaa huko Simiyu miaka 5?
I am telling you some of the machine are less expensive ni mindset yetu tu bro.
 
Mbunge wa Bukoba Wilfred Lwakatare kwenye mkutano wa Magufuli na Bukoba aliomba Bukoba wapunguziwe vifaa vya ujenzi kama bati na simenti kwa kuwa serikali haiwezi kumjengea kila mwananchi nyumba
Akitolea mfano Kikwete kuwapa fidia ya ng'ombe wafugaji waliopatwa na fidia ya ng'ombe na Nyerere alivyofanya kwa CDA dodoma kwa kuwapa msaada wa kodi

Magufuli alimjibu kwa kumpa changamoto ya kujenga kiwanda Kyelwa wauze mabati hata kwa 1,000 kwa sababu kuna madini ya bati Kyelwa na sio mabati ya kutoka Dar na China na ni ya wafanyabiashara.

Hakika katika hili Rwekatare kaonesha kaliba ya uongozi wa umma kuliko mtukufu sana Rais! Wananchi wameathiriwa na jambo lisilo la kawaida, janga ambalo wenyewe hawakulisababisha! Kiongozi wa watu baada ya kushauriana na viongozi wengine wenye dhamana na mkoa wa kagera wakiwemo RC & wabunge toka chama tawala na upinzani aliwasilisha rai ya kuomba tax holiday kwa building materials kwa waathirika ili waweze kurejesha maisha yao ktk hali kawaida! Rais anamjibu kiongozi wa watu ambaye alikuwa "mouth piece" tu (mwakilishi wa wengine) kana kwamba ni mtu binafsi, tena kwa kejeli kubwa! Halafu anathubutu kujinadi kama kiongozi/mtetezi wa wanyonge wa taifa hili kweli? Hivi wakati mnahamasisha michango, mliwaambia ukweli wachangiaji kwamba ni michango kwa ajili ya miundo mbinu ya serikali? Mataifa na mashirikaka mbali mbali walipotoa michango yao hamkuwahakikishia kuwa mtaifikisha kwa uaminifu kwa wahusika? Minong'ono ya malalamiko ilipoanza PM hakujitokeza kueleza kuwa serikali inakamilisha tathmini ya uharibifu na wahanga wote ili michango iliyopatikana iweze kuwafikia kwa uhakika zaidi? Kwa kweli kauli na namna ya mtukufu Rais haikunibariki hata kidogo!

87ce07bf859ac1a933e7d7cfd00c0fa7-jpg.454168
 
Sijidanganyi ndugu,so wewe unataka tubakie waagizaji wa toothpicks from China wakati miti inaoza Iringa?
Hebu kuwa mkweli mjomba?tuendelee kuagiza viberiti Indonesia wakati Kibo Match ipo Moshi?Bro na Ng'ombe wote hawa wa wasukuma na wamasai bado tunaagiza ngozi kutoka Kenya?Tanneries iko wapi?kama imekufa tunaifufua lini?
Bro usiwe mshabiki ona Antony Mwaka mmoja ana viwanda viwili akikaa huko Simiyu miaka 5?
I am telling you some of the machine are less expensive ni mindset yetu tu bro.
Ndg zetu wanaathirika na kuadhirika kutokana na madhara ya tetemeko. Wasaidiwe hawa kwanza ni haki yao ya msingi kama waTZ. Wamekosa nini mpaka wakubwa wanawatolea lugha zisizotegemewa toka kwao. Serikali inayonunua ndege cash, inayojenga international airport vijijini, sikutegemea inapofika kuokoa waTz ianze kejeli na porojo za viwanda, kama vile Ndg zetu hawa walipenda kukumbwa na janga la tetemeko.
 
Huyu alikuwa akimsifu sana Magu,amepata majibu kwa nini wengine twampinga
 
Nawaza..hivi Mungu akinipa uwezo wa kuingia kwenye ubongo wa JP kule kichwani alafu nisawiri kila anachowaza kila sekunde nitakutana na vitu gani!
 
Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Haya mawazo yanatoka kwenye SIMtank.
 
Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Tunasubiri nae akija kulilia huku kutafuta kura maana serikali haina vya bure lkn wao wanataka vya bure..Toa hela update kura bila hela sitoi kura yangu
 
Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Wahanga tetemeko na kauli yako vina uhusiano gani?
 
Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...
hivi unajua maana ya dharura,kuwanda mpaka kijengwe watu watakuwa wameliwa na simba
 
Mi namwelewa sana huyu jamaa.kiongozi lazima uwe na falsafa. Falsafa yake ni Tanzania ya viwanda.ukilijua ilo utakua vyake vyote.si umesikia akimjibu ukianzisha kwanza hata kama ni chako ntakusaidia
 
Back
Top Bottom