Hata mimi simwelewi ni maskini gani hao anaowazungumzia!Akiwa IKULU anasema yeye ndio amezunguka nchi nzima anajua Shida za WANANCHI MASIKINI na ndio waliompigia kura Kwaio SERIKALI YAKE NI YA MASIKINI.
Akiwa kwa hao MASIKINI anawaambia MWAAFA. Hakuna MSAADA kila MTU ABEBE MSALABA WAKE.
Sijui ni Masikini wapi huwa ana wazungumzia.
Tunasubiri nae akija kulilia huku kutafuta kura maana serikali haina vya bure lkn wao wanataka vya bure..Toa hela update kura bila hela sitoi kura yangu
Utakuwa hujui unalolijadili, au unalipotosha kwa makusudi. Baada ya tetemeko kule Kagera baadhi ya wafanyabiashara (wa maduka ya jumla) walikubali kupunguza kwa kiasi kidogo bei ya mahitaji muhimu kama mabati na sementi ili kusaidia wahanga. Na walifanya hivyo baada ya kuhamasishwa tu na viongozi huko Kagera.Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...
Tetemeko: Magufuli vs MuseveniNyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuliyenaye si kiongozi wala mtawala bali ni kitu fulani hivi!
Ndio hapo nashangaa akili za hawa viumbe!Yaani hilo likitokea utashangaa wanavyosifuNyie Leo hii akipunguza kodi ya hivyo vifaa mtakuwa wa kwanza kushangilia hapa jukwaani,!
kuna kitu kinaitwa government subsidy. ipo kwenye pembejeo za kilimo. alichoomba Rwakatare ni equivalent yake kwenye vifaa vya ujenzi, which makes sense.Sasa roho mbaya ipi mdau unajua sisi watanzania tunapenda sana kudanganywa hivyo vifaa haagizi yeye wala bei yake haijui yeye achojua lipa kodi na yule mfanyabiashara analeta kwa ajili ya kupata faida leo hii uje umwambie akushushe bei kivipi
Kama kweli walikuwa na nia ya kupata vya raisi wangechangishana wananchi pamoja na wanabukoba , kagera walio nje ya huo mji kwa umoja wao wangenunua material za ujenzi hapo Dubai ambazo ni bora na ni rais wakakodi kontena la pamoja halafu likifika hapo bandarini hapo sasa ndio mtaweza kuongea kiswahili na Rais na mkaelewana lakini vinginevyo ni ngumu
Kajibu vizuri tu tatizo humu jf wakikuchukia hata ufanye mema kiasi gani watajifanya wameziba macho. Alivyokua hajafika Kagera walikua wanapiga kelele sasa hivi ameenda wanatafuta sababu nyingine.Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...
Wapewe bilion 16 zao kwani kuna umuhim gan wajenge uwanja chato na sio kuweka ruzuku kwa waanga Lupyeee unauza wa tanzania wenzio kwa elf 7Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Hivi unajua procedure za kuanzisha kiwanda?? Hili tukio hujui ni la dharura ?? Kwa hyo hao wananchi wakae kwenye mahema mpaka kiwanda kitengemae?? Seriously??Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...