Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Watu wanaofanya kazi na huyu jamaa sijui wakoje ,mimi nisingeweza

Hichi kiburi cha uzima sijui kitamfikisha wapi ?
Hicho kiti alichokalia ndio kaanza yeye ?
Wenzake wako wapi ?
 
Ila ubunge Mzuri.,, Huyu lwakatare saivi katakata.
 
 
hayo majibu ni mtu daaaah. Kazi tunayo.
 
Watu wanaofanya kazi na huyu jamaa sijui wakoje ,mimi nisingeweza

Hichi kiburi cha uzima sijui kitamfikisha wapi ?
Hicho kiti alichokalia ndio kaanza yeye ?
Wenzake wako wapi ?
Mimi nimeanza kuamini maneno ya Lema ni kweli alioteshwa na kutumwa ayaseme. Mungu hapo kale according to vitabu vitakatifu hakuwa anawatuma watu waoga kupeleka ujumbe. Mitume wengi waliokuwa wanatumwa kupeleka ujumbe waliteswa sana, kudhalilishwa na hata kuuwawa lakini walikomaa kutimiza walichotumwa.
Nina hofu sana, whats next?
 
Lwakatare n mpuuzi,dawa ya moto n moto,wapga kura wako wanapata shda we2 unachekelea na kumwunga mikono kwa maneno ya kikatili kama hayo bado unasema yuko sahh!
 
Historia itatoa majibu ya maswali yote.
 
Me ningetoa matusi hapo halafu najiuzuru na huo ubunge halafu nakula kona baru!!!!
 
Duuu bwana magu kiboko ya majibu ya papo kwa papo sasa baba ukimjibu hivyo anakupiga mpaka ukome...
 
Whatever will be ,will be ...i don't care if he flies to heaven on wings or die like any other Mofo

He's just way out of proportion
 
Watu wanaofanya kazi na huyu jamaa sijui wakoje ,mimi nisingeweza

Hichi kiburi cha uzima sijui kitamfikisha wapi ?
Hicho kiti alichokalia ndio kaanza yeye ?
Wenzake wako wapi ?
Nimependa kauli yako "kiburi cha uzima" hapo ndipo binadam wengi wanapokosea wakifikiri watakuwepo dunia hii milele. Hicho ndicho kiburi anachokionesha mh. akifikiri hicho cheo na maisha ni vya kudumu. Hawezi tena kuishi mara mbili ya umri alionao sasa atafutika kabisa juu ya uso wa dunia. Itamsaidia nini? Ajiulize waliotangulia wako wapi?
 
You are really crazy!, how long the process will take ,from finding investors up to the production of goods/products.
You think an industry is like masterbution which firm for 5 minutes?
 
Hivi kama serikali inauwezo wa kupunguza baadhi ya kodi kwa wananchi wa eneo hilo kulikuwa na ugumu gani?
Eti ajenge kiwanda! Huo mchakato mpaka uje uishe kweli wanakagera watakuwa na uhaba kama walio nao sasa!
Unapopata tatizo halafu huna hata wa kumsimulia jinsi tatizo lako lilivyo kibinadamu huwa inaumiza sana

Hiki ni kiburi cha wazi wazi kabisa
 
Lwakatare yuko vizuri, ametumia fursa vizuri sana
 
Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Uje umalizie dozi yako hapa Milembe,ulikuwa kwenye majaribio naona kichaa kimerudi kwa fujo
 
Hivi kwanini kipindi kile cha tetemeko watu walikuwa wanazuiwa kuwasaidia wahanga moja kwa moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…