Elections 2010 Lwakatare kura hazikutosha

Elections 2010 Lwakatare kura hazikutosha

Afadhali, hatujatoka kapa!!!!

Aluta kontinua!
 
washkji zitto hukumpigia DR kampen za kutosha,nilikuwa namfuatilia sana huyu mwanaharakati,nazani wana beef la chinichini.ndoo maana dr hajafanya vyema huko kigoma,especialy kaskazini.2 bad:nono:
 
Pole kaka Lwakatare

Usikate tamaa. Endeleza mapambano, wewe bado kijana.
 
Back
Top Bottom