Malimi Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,287
- 2,743
Basi alitakiwa ampigie simu Lwandamina personally ili ujumbe umfikie mubashara.Haya maneno yameelekezwa kwa lwandamina ambaye ni Mzambia, haelewei kwa ufasaha kiswahili zaidi ya kiingereza, hivyo mleta mada ana nia ya kumfikishia ujumbe Lwandamina bila kutafsiriwa na mtu, hata kama si member wa jamiiforum, ana jamaa zake wa Karibu ni members humu hivyo ujumbe utafika tu, sasa nyinyi Wabongo wazee wakukurupuka bila kutumia hata akili zenu ndogo walau kidogo, mmekazana kukosoa Ooh lugha ya malkia, Ooh unatafuta Kiki, stupid kabisa
Naamini hata angekuwa ameandika kilatini ujumbe ungemfikia tu sababu waka wakalimani wamejaa hivyo, hoja yako kuhusu lugha ni dhaifu sana.
Mfano mimi saivi sijui kichina ila ukinitukana kwa kichina nitatafuta mkalimani na nitaelewa.